Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Hizi Dini zineingiliwa na matapeli na machawa wanaoogopa kuumbuliwa ndio Maana wanajificha kwenye mgongo Wa kujinyenyekesha Kwa watawala Hata kama dhulma imejaa.

Wanatumia Dini kukwepa Kodi badala Wakati pesa ni michango ya waumini .
Cha ajabu hawatangazi ni bidhaa Gani imeingizwa na kusamehewa Kodi na Ina manufaa Gani Kwa Jamii . Cha ajabu michango haiishi. Wanashirikiana na matapeli kuingiza magari na vifaa vingine Kwa kukwepa Kodi ndio Maana wanakua ni tawi la wahuni na Mafisadi.
Kwenye ukweli usemwe Hata kama utamgharimu MTU . Ujapokufa Utakua unaishi . Lakni ukiishi ukiwa unamdhalilisha Mungu na Kristo basi Hata kama una jina la kuwa hai basi inakua umekufa kitambo.
 
🤝 Noted
 
Wewe nawe ni walewale kama machawa wengine tu kwani ukiwa CPCT ndio unakuwa hauna element kama za dada yako mfalme Zumari...
 
ndio hawa hawa wachungaji wenye matumbo makubwa kama wanakulaga watu. kanisa linaloacha kukemea maovu na dhambi hilo sio kanisa ni genge la kukusanyia sadaka. very hopeless church
Walafi kama nini
 
Na wewe unaushahidi kama mtoto alipata majeraha ya ndani? Au unafikiri Yohani mbatizaji aliongelea uvunguni mpaka ikampeleekea kutiwa gerezani na mwishoe kuchinjwa kichwa. Red is Red na Yellow is Yellow.
 
Umeongea ukweli wote.
Kwanza serikali iache kutoa misamaha ya kodi kanisani .

Hii misamaha ya kodi inaua Ukristo.
Wachungaji wetu wamekuwa matapeli .

Wanashirikiana na madalali wakubwa kuuza vitu vyenye msamaha wa kodi.

Mfano hai ni Mtu anajiita Askofu Isangya tajiri mkubwa, kanisa la International,Sakila kikatiti Arusha.

Huyu ndiye tapeli labda namba moja Tanzania kupitia dini.

Huwa anasafiri kwenda Marekani anakaa zaidi ya miezi 4 akikusanya nguo za misaada, saa za thamani na mengineyo.

Analenta Makontena ya kufa mtu.

Marekani anapewa kama misaada lkn yeye akifika tu bongo anauza vyote.

Yule fala ni tajiri kupindukia, alitaka kujenga uwanja wa ndege wa binafsi akanyinwa kibali.

Huyu ndiye alikuwa akiingiza makontena ya vifaa mbali mbali kwa jina la kanisa lakini ukweli vilikuwa vya Mwenye hoteli za Naura, Impala na Ngurdoto...Mrema.

Kanisa la EAGT lina mgogoro mkubwa tangu mwaka juzi, ugomvi mkubwa ni kugombea mapato ya aibu, kupitia mradi wa kuagiza magari kwa jina la kanisa lkn sio ya kanisa.

Uongozi wa juu umeoza na hili limeandikwa mara kadhaa magazetini.

Makanisa yetu ya kiroho wachubgaji 80% yameoza hawana ujasiri wa kukemea serikali wataumbuliwa.

Sio kipentecoste pekee hata Moravian, Anglican maarufu wachungaji wazinzi zaidi, KKKT ya akina Malasusa ni tatizo tupu pia.
 
Na wewe unaushahidi kama mtoto alipata majeraha ya ndani? Au unafikiri Yohani mbatizaji aliongelea uvunguni mpaka ikampeleekea kutiwa gerezani na mwishoe kuchinjwa kichwa. Red is Red na Yellow is Yellow.
Wanajijua ni waovu wakitoka hadharani wataumbuliwa
 
Mahubiri yake

Mnyoa denge, Wewe ndio mbabaishaji unafikiri ukikaa kota za mahakama ndio utakuwa unajua sheria. Kitu kikiongelewa uvunguni wewe panda kwenye dari kiseme.
 
Mnyoa denge, Wewe ndio mbabaishaji unafikiri ukikaa kota za mahakama ndio utakuwa unajua sheria. Kitu kikiongelewa uvunguni wewe panda kwenye dari kiseme.
Mpeni mabanzi ya kutosha akawasimuliwe matapeli wenzie
 
Wewe hujisikii vizuri kupigania haki ufe, mbona unamng'ang'niza mwenzako!
 
Wewe ni mjinga
 
Ila pia wewe ni mzigo kama alivyo huyu anayeimba nyimbo zenye uchochezi.
 
kumbe wewe ndoyule pastor unayeashindana na mwakisile mitandaoni... aisee umekosea sana
 
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
Sasa imewasaidia kitu gani wakati mnashauri na kupuuzwa!

Sitapoteza muda wa kukuchambua wewe na huo unafiki mnaoufanya ndio uliotufikisha hapa tulipofikia kama taifa.

Mnatumia njia hizo ili kesho na keshokutwa mkumbukwe na mtupiwe fupa la kulamba kama mbwa?

Hizo njia zenu ziliwahi kuleta mabadiliko wapi?
 
Duh!

Nilidhani unazo za kutosha kichwani, kumbe ni mtupu hivi?

Kwa hiyo wewe unahimiza hao watumishi walambe uchafu, kwa vile hawawezi kushindana na dola?

Akili yako ni mbovu sana. Watu wa mfano wako ndio maadui wakuu katika jamii yoyote ile.
 

Naona umeanza kujihesabia haki,kwamba wewe huna mawaa,angalau hao wanasimamia haki kuliko wewe mnafiki
 
[emoji7][emoji7][emoji2956]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…