Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Inaonekana unayajua sana mambo haya.
 
Kuna mtumishi alimkemea mfalme hadharani? Hao akina Eliya walikemea wafalme hadharani? Hao akina Eliya walikemea au walikutana? Mwakipesile anakemea au anatukana na kushindana? Hili la kusema akikupiga shavu Hili mwenzie na Hili umepitwa na wakati umelitoa wapi? Hahaaaaaa, huna ujuacho mzee, unalazimisha wachungaji wote tushauri na tukemee bila utaratibu wakati tuna CPCT na ujumbe wetu tuliufikisha kwa Rais na tulimkumbusha tulia pale CBC Miuji Dodoma. Hakuna utumishi wa Mungu bila hekima.na utaratibu. Msimamo wa kushauri namna nzuri ya uwekezaji katika bandari ni wa kanisa zima. Tulikaa na wataalamu wetu wa sheria na kupitia mkataba then tukamshauri mtawala. Ulitaka tuandamane? Very funny.
 
Wewe ni mjinga wa mwisho na siyo kiongozi wa kanisa
 
Kwani uongo ma CCM hayakuoni nyani wewe na ukoo wako yanakupa buku
Saba uyatetee mtandaoni yenyewe yanapiga mabilioni ya pesa.
Bibi yako yanampa chumvi na kanga anashangilia kama zuzu
 
Mama yako ni mnyenyekevu? Mbona anauza pombe kilabuni.
 
Kamchochea nani na aliyechochewa kafanya nini?
 
Wachungaji wa kipentecoste ni jipu kubwa wamebaki kuxini na washirika tu
Hizi ni blah blha zako tu mnatulazimisha wote tuandamane na kutukana watawala kama hatuna akili? Sisi ni viongozi tuna watu tunawaongoza na hatuwezi kusimama mbele na kashfiana na viongozi wenzetu. Haya ya kuzini wewe wasema kwani hata hao maaskofu akina yule wa KKKT Karagwe mnayemuona shujaa amezaa na mke wa mtu, hao maaskofu na mapadri wa Kiroma ndio wenyewe tena wao hadi wanalawiti watoto wa kiume. Mashehe na maustadhi nao hivyo hivyo. Kwa hilo, mmetukosa hatusimami na kushutumu mamlaka ili tuonekane mashujaa. Sisi wajibu wetu ni kuwashauri tu.
 
Kwa hio unamuona nyani tu
 
barikiwa ameharibu sana wale vijana, nadhani yeye ndio anatakiwa kuwa wa kwanza kukaa ndani. au la apelekwe mirembe yeye na mkewe, wameharibu vijana sana, vijana wake hawana akili kabisa wamebaki kumsikiliza yeye tu. kama amechochea, akae ndani na afungwe kabisa. sijui kwanini serikali inamuogopa mbarikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…