Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Nani kasema mtoto wake kafa kwa ajali? Una nilisha maneno. Nimesema chanzo cha kifo kile ni walipopata ajali wakienda kuhubiri kanda ya ziwa. Baada ya kumrudisha mtoto Mbeya au wampeleke Hospitali wakaenda naye kwenye mkutano wakati mtoto akiwa na majeraha ya ndani. Hii ndio ilisababisha kifo chake. Je wewe una ushahidi kuwa aliuliwa na Usalama wa Taifa? Kwa akili yako ndogo, usalama wataua mtoto wa Mbarikiwa kwa kosa gani? Je mbarikiwa ana influence gani nchi hii hadi awe tishio?
Inaonekana unayajua sana mambo haya.
 
Enzi za ukipigwa shavu moja mgeuzie la pili umepitwa na wakati.

Mnahubiri uoga na sio neno la ujasiri.
Tangu mwanzo Wafalme wakikosa hukenewa na watumishi wa Mungu lkn ninyi mmekuwa watu wa ajabu mno hasa Wapentecoste.

Wachungaji wa Kipentecoste wanafiki mnooo mnapitwa na RC.

ningmyi ni wasengenyaji na wanung'unikaji chichini...ninawafahamu kuliko.
Kuna mtumishi alimkemea mfalme hadharani? Hao akina Eliya walikemea wafalme hadharani? Hao akina Eliya walikemea au walikutana? Mwakipesile anakemea au anatukana na kushindana? Hili la kusema akikupiga shavu Hili mwenzie na Hili umepitwa na wakati umelitoa wapi? Hahaaaaaa, huna ujuacho mzee, unalazimisha wachungaji wote tushauri na tukemee bila utaratibu wakati tuna CPCT na ujumbe wetu tuliufikisha kwa Rais na tulimkumbusha tulia pale CBC Miuji Dodoma. Hakuna utumishi wa Mungu bila hekima.na utaratibu. Msimamo wa kushauri namna nzuri ya uwekezaji katika bandari ni wa kanisa zima. Tulikaa na wataalamu wetu wa sheria na kupitia mkataba then tukamshauri mtawala. Ulitaka tuandamane? Very funny.
 
Hao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.

Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.

Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.

Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.


Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
Wewe ni mjinga wa mwisho na siyo kiongozi wa kanisa
 
Acha nawe kupotosha. Kuna sehemu Eliya alimtukana Ahabu? Kuna sehemu Eliya alimshutumu Ahabu? Mnampotosha na yule kuanguka hashauriwi namfahamu nawafahamu wale vija wake na mkewe na wala sijihesabii haki na mwache kumpampu ujinga. Kuna sehemu Eliya alimshinda ahabu? Akina Petro, Yakobo na Paulo waliuliwa na Dola. Yesu aliuliwa na Dola. Hakuna mtumishi wa Mungu aliyewahi ishinde dola narudia na afanyavyo ni watu wasio na akili pekee ndio wanamuunga mkono. Akina Eliya walienda kuonya na sio kutukana. Wacha maneno yako haya.

Kama CPCT tulishatuma mtu kumuonya, kumshauri na kumueleza aache haya. Anajibu hovyo na kiburi. Kiburi kile sio cha Kimungu hata usemaji na sasa mnajifichia kuhukumu nankujihesabia haki. Kwake namhukumu na najihesabia haki. Mi nakaa na kutumika Mbeya, tumemuita na kuongea, hasikii wala haambiliki yule.
Kwani uongo ma CCM hayakuoni nyani wewe na ukoo wako yanakupa buku
Saba uyatetee mtandaoni yenyewe yanapiga mabilioni ya pesa.
Bibi yako yanampa chumvi na kanga anashangilia kama zuzu
 
Ndio mnajifichia huko siku hizi mkimbiaji ukweli. Eti leo mkuu wa usalama wa Taifa ameua mtoto wa Mbarikiwa. Yaani aue mtoto kwa kosa gani? Mbarikiwa ana tishia nini kwenye usalama wa nchi? Mbarikiwa ana influence gani nchini? Mbarikiwa ana watu wangapi wanaosikiliza? Wale kikosi kazi hata 50 hawafikii.

Mtoto kafa tokana na ajali ya Gari wakati wanaenda kuhubiri kule kanda ya ziwa. Baada ya kupata ajali, baada wampeleke hospitali au wamrudishe Mbeya, wamelazimisha naye amelazimisha kwenda kwenye mkutano eti ni shujaa anataka afe pamoja na Baba yake. Mtoto akawa na maumivu ya ndani kwa ndani ndio kilimuua. Sasa hapo mkuu wa usalama wa Taifa kahusikaje?

Tunafahamu utumishi wa Kimungu umejengwa katika unyenyekevu. Ukitaka kujua fuatilia watoto wake akina Onesmo Mwakajila hata yule Ulimwengu aliamua kujitoa kikosi na alivyoshambuliwa. Mwulize Kuhani Lawi alivyomshauri alichokutana nacho toka kwa hao watoto wake. He is psychiatric, wampime akili na wamcontrol haraka ataleta maafa kama ya Shakahola.
Mama yako ni mnyenyekevu? Mbona anauza pombe kilabuni.
 
Wachungaji wa kipentecoste ni jipu kubwa wamebaki kuxini na washirika tu
Hizi ni blah blha zako tu mnatulazimisha wote tuandamane na kutukana watawala kama hatuna akili? Sisi ni viongozi tuna watu tunawaongoza na hatuwezi kusimama mbele na kashfiana na viongozi wenzetu. Haya ya kuzini wewe wasema kwani hata hao maaskofu akina yule wa KKKT Karagwe mnayemuona shujaa amezaa na mke wa mtu, hao maaskofu na mapadri wa Kiroma ndio wenyewe tena wao hadi wanalawiti watoto wa kiume. Mashehe na maustadhi nao hivyo hivyo. Kwa hilo, mmetukosa hatusimami na kushutumu mamlaka ili tuonekane mashujaa. Sisi wajibu wetu ni kuwashauri tu.
 
Nani kasema mtoto wake kafa kwa ajali? Una nilisha maneno. Nimesema chanzo cha kifo kile ni walipopata ajali wakienda kuhubiri kanda ya ziwa. Baada ya kumrudisha mtoto Mbeya au wampeleke Hospitali wakaenda naye kwenye mkutano wakati mtoto akiwa na majeraha ya ndani. Hii ndio ilisababisha kifo chake. Je wewe una ushahidi kuwa aliuliwa na Usalama wa Taifa? Kwa akili yako ndogo, usalama wataua mtoto wa Mbarikiwa kwa kosa gani? Je mbarikiwa ana influence gani nchi hii hadi awe tishio?
Kwa hio unamuona nyani tu
 
barikiwa ameharibu sana wale vijana, nadhani yeye ndio anatakiwa kuwa wa kwanza kukaa ndani. au la apelekwe mirembe yeye na mkewe, wameharibu vijana sana, vijana wake hawana akili kabisa wamebaki kumsikiliza yeye tu. kama amechochea, akae ndani na afungwe kabisa. sijui kwanini serikali inamuogopa mbarikiwa.
 
Back
Top Bottom