Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Acha nawe kupotosha. Kuna sehemu Eliya alimtukana Ahabu? Kuna sehemu Eliya alimshutumu Ahabu? Mnampotosha na yule kuanguka hashauriwi namfahamu nawafahamu wale vija wake na mkewe na wala sijihesabii haki na mwache kumpampu ujinga. Kuna sehemu Eliya alimshinda ahabu? Akina Petro, Yakobo na Paulo waliuliwa na Dola. Yesu aliuliwa na Dola. Hakuna mtumishi wa Mungu aliyewahi ishinde dola narudia na afanyavyo ni watu wasio na akili pekee ndio wanamuunga mkono. Akina Eliya walienda kuonya na sio kutukana. Wacha maneno yako haya.

Kama CPCT tulishatuma mtu kumuonya, kumshauri na kumueleza aache haya. Anajibu hovyo na kiburi. Kiburi kile sio cha Kimungu hata usemaji na sasa mnajifichia kuhukumu nankujihesabia haki. Kwake namhukumu na najihesabia haki. Mi nakaa na kutumika Mbeya, tumemuita na kuongea, hasikii wala haambiliki yule.
Simuungi mkononsbb sijui shida hasa nini?
Ila kusema kwamba hakuna mtumishi wa Mungu aliishinda Dola naona hapa hauko sawa!
Kwani mbarikiwa anashindana na Dola?
 
Eeh mwakipesile sijui kakutwa na nini?
Kwani huyo mwanae anaesema wanemuua ,ni wa kuzaa?
Na ilikuwaje?
Maana ht nilipojaribu kuifuatilia kiukweli sikuelewa
Anatafuta tu umaarufu na kujiingiza kwenye migogoro na watu bila sababu. Alikuwa na mtoto mmoja anaitwa WOKOVU. Yule wake alikufa mwaka jana tokana na changamoto za kiafya kwani walipata ajali wakienda kwenye mkutano kanda ya ziwa. Katika ajali ile mtoro alipata maumivu ya ndani kwa ndani ila walilazimishwa naye akalazimisha kuendelea na mkutano baada ya kumrudisha Mbeya au kumpeleka Hospitali. Tokana na maumivu na kutotibiwa ndio mtoto akafa sasa yeye kila siku anasema Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kamuua mwanaye. Unajiuliza, kwa influence gani au kwanini alichonacho cha kutishia usalama wa nchi hadi wamshughulikie?
 
Weka wewe, binafsi sijawahi na sijawahi tena kumfuatilia baada ya kuona anatoka kwenye wito na utaratibu wa kanisa.
Utaratibu wa kanisa ndo upuuzi unaoharibu watu na kufanya ukristo uonekane biashara
Mapokeo ya kijinga!

Kutoka nje ya wito sawa ila sio wa kanisa!
 
Simuungi mkononsbb sijui shida hasa nini?
Ila kusema kwamba hakuna mtumishi wa Mungu aliishinda Dola naona hapa hauko sawa!
Kwani mbarikiwa anashindana na Dola?
Anajiita mchungaji wa PCTc sijui......makanisa ya watu waganga njaa hata neno la Mungu halijui.
 
Anatafuta tu umaarufu na kujiingiza kwenye migogoro na watu bila sababu. Alikuwa na mtoto mmoja anaitwa WOKOVU. Yule wake alikufa mwaka jana tokana na changamoto za kiafya kwani walipata ajali wakienda kwenye mkutano kanda ya ziwa. Katika ajali ile mtoro alipata maumivu ya ndani kwa ndani ila walilazimishwa naye akalazimisha kuendelea na mkutano baada ya kumrudisha Mbeya au kumpeleka Hospitali. Tokana na maumivu na kutotibiwa ndio mtoto akafa sasa yeye kila siku anasema Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kamuua mwanaye. Unajiuliza, kwa influence gani au kwanini alichonacho cha kutishia usalama wa nchi hadi wamshughulikie?
Yaani mtoto kafa kwa ajali yeye anasema kauliwa? Embu fafanua vizuri
 
Anatafuta tu umaarufu na kujiingiza kwenye migogoro na watu bila sababu. Alikuwa na mtoto mmoja anaitwa WOKOVU. Yule wake alikufa mwaka jana tokana na changamoto za kiafya kwani walipata ajali wakienda kwenye mkutano kanda ya ziwa. Katika ajali ile mtoro alipata maumivu ya ndani kwa ndani ila walilazimishwa naye akalazimisha kuendelea na mkutano baada ya kumrudisha Mbeya au kumpeleka Hospitali. Tokana na maumivu na kutotibiwa ndio mtoto akafa sasa yeye kila siku anasema Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kamuua mwanaye. Unajiuliza, kwa influence gani au kwanini alichonacho cha kutishia usalama wa nchi hadi wamshughulikie?
Ila km we mtumishi kweli huwezi kumnenea mwenzio hivi kwamba anatafuta umaarufu,sio vzr!
Dhana ya Mwili wa Kristo imeenda wapi? muombee!

Na ,kumbe ilianzia kwenye ajali!
Nilifuatilia kidogo ila sikujua km ilianzia kwenye ajali.

Ni mtt wa kuzaa au wa kiroho?
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwimbaji wa nyimbo za injili SIFA BONIVENTURE BUJUNE [25] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi na kuurusha kwenye mitandao ya kijamii.

Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjami Kuzaga amesema Mtuhumiwa alikamatwa Septemba 13, 2023 huko Isyesye Jijini Mbeya baada ya kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi dhidi ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuusambaza kupitia mitandao ya kijamii pamoja na mtandao wa kurusha maudhui wa Youtube.

Mtuhumiwa anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
Anyongwe haraka
 
Nani kwenye Biblia aliwahi ishinde dola? Kuna vitu viwili, kuna kushauri na kukemea utawala na kuna kushindana na Dola. Mbarikiwa hashauri ila yeye anashindana na dola. Hakuna mtumishi wa Mungu toka Mwanzo hadi Ufunuo aliyewahi kukemea, kutukana na kukashfu mamlaka. Wajibu wetu ni kushauri then tunaombea wenye mamlaka kwa dua, sala na maombezi ili kile ambacho Mungu amekutuma ukasema au mshauri mtawala kipate kibali kwa mtawala. Yohana, Daudi, Samweli, Isaya n.k hawakuwaendea wafalme na kuwakemea mbele za watu. Walipata kibali kwa Mungu na wakaenda moja kwa moja kwa Mfalme na kumwambia ujumbe wa Mungu ial sio hii ya kutumia Mitandao kutukana na kushindana.
Simuungi mkononsbb sijui shida hasa nini?
Ila kusema kwamba hakuna mtumishi wa Mungu aliishinda Dola naona hapa hauko sawa!
Kwani mbarikiwa anashindana na Dola?
 
Ukienda kuhubiri unanjaa lazima Utailamba Serkali Makalio, Muwe mnatafuta pesa kwanza ndo mnajiita Viongozi/Wachumgaji Mnamtia Yesu aibu kaita Vibaka Katika Nyumba zake.
usimshambulie huyu mtu bure. hata wewe pesa huna. hata mbarikiwa pesa hana, labda anazowadanganya ninyi mnampa halafu hawahubirii neno anaishia kutukana watu.

kitu kingine, kama upo karibu na mbarikiwa, mwambie kwamba yeye hajaitiwa kuhubiri, ameitiwa kuimba na anajua sana kuimba, kama angeimba yule angeshakuwa bilionea Tanzania hii na nyimbo zake zilikuwa zinasaidia sana watu kiroho. hiyo ndio talanta Mungu alimpa. mshauri hivyo tu, aache kuhubiri hawezi na Mungu hayupo naye kwenye fungu la kuhubiri alilolichagua. hata leo akiamua kuachana na hicho kikundi cha wahuni, akaanza kuimba nyimbo, atapata pesa nyingi sana hata za kusapoti injili na kusaidia masikini na wahitaji wengine, badala ya kushinda kutwa anapambana na serikali badala ya kupambana na shetani.
 
Haaaahaaa mkuu inaonesha unawajua kiundani kweli na una uzoefu nao.
Wasengenyaji mnoo, halafu waoga.
Hawa ni wachungaji wangu nawajua nje ndani.

Elimu ya kuunga unga haiwapi ujasiri kukosoa, wengi ni weupe sana kichwani.

Pili wamejaa umaskini, wanakimbizana na sadaka na mafungu ya kumi tu.

Kama ana bisha aseme kanisa lake hapa
 
Utaratibu wa kanisa ndo upuuzi unaoharibu watu na kufanya ukristo uonekane biashara
Mapokeo ya kijinga!

Kutoka nje ya wito sawa ila sio wa kanisa!
Hakuna kitu chini ya jua kisicho na utaratibu. Hii ya kujiendea kama mbuzi ndio kunakopelekea watu kutemewa mate na kubakwa, kudharirishwa huko makanisani kwa Jina la Mafunuo. Naamini hata hapo kwako uishipo kuna utaratibu na kama hakuna utaratibu basi pole yako.
 
Nawe u mbabaishaji na hakuna kitu cha Kiroho ujuacho. Hivi haonakina Yohana walienda kumsema na kumkemea huyo Mfalme Hadharani? Je Mungu gani asiye na utaratibu wa namna hiyo? Nathari alienda kwa Daudi, Samweli alienda kwa Sauli, Eliya alienda kwa Ahabu. Sasa leo mtu anasimama mtandaoni na kuanza shutuma tena kwa kashfa na kujigamba binafsi kushindana na dola. Jana niliona video moja ya Askofu mmoja anajiita mwana mapinduzi. Ile sio kukemea ni kujigamba na kutishia dola. Lina Yohana alisimama na "kusema simuogopi Herode, wala Pilato wala Majeshi yote ya Kirumi. Hayanifanyi kitu na hayanibabaishi kitu" hahaaa bro bwana. You are very low upstairs na masuala ya Kiroho huna ujuacho. Naonaga kule kwenye uzi wa yoga unavyoongea. Bado sana wewe.
Alaaa!!

Unabii unasema hivi, huu ni muda wa .....kuingia na kitabu Kanisani, baada ya hapo, aliyeingia na kitabu Kanisani, anarudi tena mara ya pili kukabidhi Kwa Kanisa.

Wenye macho wameona Yehu akijenga madhabahu ya Mungu mkuu na kuangusha miungu ya mabaali.

Na HAKI itasimama juu ya nchi Ili mtoto Amani azaliwe.

Endelea na mapambio kuwambia wamevaa wakati nanii ziko nje!!!
 
Nani kwenye Biblia aliwahi ishinde dola? Kuna vitu viwili, kuna kushauri na kukemea utawala na kuna kushindana na Dola. Mbarikiwa hashauri ila yeye anashindana na dola. Hakuna mtumishi wa Mungu toka Mwanzo hadi Ufunuo aliyewahi kukemea, kutukana na kukashfu mamlaka. Wajibu wetu ni kushauri then tunaombea wenye mamlaka kwa dua, sala na maombezi ili kile ambacho Mungu amekutuma ukasema au mshauri mtawala kipate kibali kwa mtawala. Yohana, Daudi, Samweli, Isaya n.k hawakuwaendea wafalme na kuwakemea mbele za watu. Walipata kibali kwa Mungu na wakaenda moja kwa moja kwa Mfalme na kumwambia ujumbe wa Mungu ial sio hii ya kutumia Mitandao kutukana na kushindana.
Ngoja nikaangalie km kweli anatukana Dola
Mi najua Huwa analalamika weee na ana kesi
 
Wasengenyaji mnoo, halafu waoga.
Hawa ni wachungaji wangu nawajua nje ndani.

Elimu ya kuunga unga haiwapi ujasiri kukosoa, wengi ni weupe sana kichwani.

Pili wamejaa umaskini, wanakimbizana na sadaka na mafungu ya kumi tu.

Kama ana bisha aseme kanisa lake hapa
Hahaaaaa, mimi ni mtu mzima na nina kila kitu sio sawa na wewe. Nina elimu dunia, nina elimu ahera, nina kila kitu zaidi yako dogo.
 
usimshambulie huyu mtu bure. hata wewe pesa huna. hata mbarikiwa pesa hana, labda anazowadanganya ninyi mnampa halafu hawahubirii neno anaishia kutukana watu.

kitu kingine, kama upo karibu na mbarikiwa, mwambie kwamba yeye hajaitiwa kuhubiri, ameitiwa kuimba na anajua sana kuimba, kama angeimba yule angeshakuwa bilionea Tanzania hii na nyimbo zake zilikuwa zinasaidia sana watu kiroho. hiyo ndio talanta Mungu alimpa. mshauri hivyo tu, aache kuhubiri hawezi na Mungu hayupo naye kwenye fungu la kuhubiri alilolichagua. hata leo akiamua kuachana na hicho kikundi cha wahuni, akaanza kuimba nyimbo, atapata pesa nyingi sana hata za kusapoti injili na kusaidia masikini na wahitaji wengine, badala ya kushinda kutwa anapambana na serikali badala ya kupambana na shetani.
Shetan umewah kumuweza tangu uanze kushindana nae?
 
Back
Top Bottom