Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Nawe u mbabaishaji na hakuna kitu cha Kiroho ujuacho. Hivi haonakina Yohana walienda kumsema na kumkemea huyo Mfalme Hadharani? Je Mungu gani asiye na utaratibu wa namna hiyo? Nathari alienda kwa Daudi, Samweli alienda kwa Sauli, Eliya alienda kwa Ahabu. Sasa leo mtu anasimama mtandaoni na kuanza shutuma tena kwa kashfa na kujigamba binafsi kushindana na dola. Jana niliona video moja ya Askofu mmoja anajiita mwana mapinduzi. Ile sio kukemea ni kujigamba na kutishia dola. Lina Yohana alisimama na "kusema simuogopi Herode, wala Pilato wala Majeshi yote ya Kirumi. Hayanifanyi kitu na hayanibabaishi kitu" hahaaa bro bwana. You are very low upstairs na masuala ya Kiroho huna ujuacho. Naonaga kule kwenye uzi wa yoga unavyoongea. Bado sana wewe.
 
Rabbon aione hii
 
Sasa ndugu ulikosa Kiti uko CCM mpaka ukaamua uangukie Uchungaji?
Kutetea CCM ni ishara ya kwanza kua unajali tumbo kuliko Haki sidhani kama utaweza kuongoza ibada kwa dhati pasipo Sadaka/malipo.

"Ivimbie Serkali ufungiwe Kanisa"
Hahaaaaa kimsingi huu ndio msimamo na kile mtakacho kutulazimisha wote tuingie huko na kuamini kile muaminicho au mtakacho. Sijaitetea ccm sehemu ila naandika kilicho kweli.
 
Wacha kikenyua mimeno yako michafu!
Hao sio mabwabwa kama wewe, wana sababu ya kuisema serikali![emoji848]
 
Kama Isyesye basi ni muumini wa Mwakipesile Mbarikiwa.
Ila police wametusaidia kutujulisha kuwa kuna wimbo umetoka
sio tu muumini, alikuwa anaishi naye nyumbani kwa mbarikiwa, ni binti ambaye mbarikiwa anamlea (kwa mujibu wa clip ambayo mbarikiwa amesambaza). vijana wote kwenye kile kikundi wamechanganyikiwa na wanaishi kimwili na wale hawana tofauti na Makenzie, na mbarikiwa inasemekana alishawahi kuwa na connections na makenzie wa kenya. pia, anaabudi illegally kwasababu kile kikundi hajakisajili, amekataliwa usajili kwasababu hata serikali iliona haikielewi kichwa chake.
 
W
Wacha kikenyua mimeno yako michafu!
Hao sio mabwabwa kama wewe, wana sababu ya kuisema serikali![emoji848]
Wacha weeeee watoro wasio na wazazi hawa wao ni kutukana kila.mtu tu.
 
Aisee wewe itakuwa mkristo jina tu halafu unajiita kiongozi wa dini sijui mchungaji wa pentecoste. Huko kanisani kwenu kuna upungufu wa viongozi mpaka na wewe uwe kiongozi. Hakika umelihabisha kanisa lako yaani unaamini Yesu aliuliwa na dola, na pia unaamini dola lilikuwa na uwezo zaidi ya kumzidi Yesu? Hivi kama Yesu angetumia malaka yake na uwezo kuna kiumbe angefurukuta?
 
Mara nyingi msema kweli huitwa "Mchochezi" na yale "machawa ya Mama" yenye kusifia ujinga ndio huitwa "Wazalendo" na kupewa airtime ili kuendelea kuhadaa na kuwalaghai wananchi. CCM wanapenda watu kama Steve Nyenyere and the likes.
 
Amtaje aliyemtuma.

Watu wanajaribu kila njia kuiondowa nchi kwenye amani.
 
Hahaaaaa kimsingi huu ndio msimamo na kile mtakacho kutulazimisha wote tuingie huko na kuamini kile muaminicho au mtakacho. Sijaitetea ccm sehemu ila naandika kilicho kweli.
Hiyo ndiyo kweli mliyotumwa kuifichaficha kama Uchawi, Hii pia ni aina ya Uchawa kutokosoa wakati husupport hadharani ni Unafiki.
 
Nonsense
 
Ukienda kuhubiri unanjaa lazima Utailamba Serkali Makalio, Muwe mnatafuta pesa kwanza ndo mnajiita Viongozi/Wachumgaji Mnamtia Yesu aibu kaita Vibaka Katika Nyumba zake.
 
Eeh mwakipesile sijui kakutwa na nini?
Kwani huyo mwanae anaesema wanemuua ,ni wa kuzaa?
Na ilikuwaje?
Maana ht nilipojaribu kuifuatilia kiukweli sikuelewa
 
Ndio maana hamheshimiki hamjitambui kabisa
 
Haaaahaaa mkuu inaonesha unawajua kiundani kweli na una uzoefu nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…