Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi


Tangu mmeanza kuwashauri Kwa staha,

Lini wameacha kuiba KURA kwenye chaguzi?
 
Haaaahaa mkuu msamehe tu huyu bwana.
 

Wajibu wa kushauri Nani aliwapa?
 
Sijuhi huo wimbo lakini kama ameimba kuikosoa Serikali kosa liko wapi? Mbona mwimbaji akiimba kusifia hiyo serikali hakamatwi wala kuhojiwa? Ni kasumba mbaya iliyoanza kupandikizwa na kuota mizizi kipindi cha jpm, mwanzoni Rais wa Sasa alianza kuonyesha ukomavu, lakini baada ya haya madudu yanayofanywa na serikali yake nae anaanza mwelekeo mbaya.
 
Sio wote kaka🀭nI baadhi tu
Wengine wako vzr
80% I know these wachungaji dada, sina haja ya kutuhumu watu kwa uwongo.

Yaani 80% wapo after money, ni watu wakiofeli kimaisha waka opt. Kuwa wachungaji.

Na hawa ni watu wa ajabu sana, wanawachukia wachungaji wenzao walionyooka.
Mfano mdogo wanamchukia sana Mchungaji Magembe wa Majumba sita pale Dar, kisa tu anawapa ukweli mchungu.
 
Anamuiga ney wa mitengo, akiamua kuipa serikali nakoz za uso anaipa apendavyo, kaonywa, sijui kama atarudia kuimba makavu kwa serikali. Sasa huko mbeya hakuna basata mpaka polisi wakamate muimba sanaa? Halafu tangu lini waimba injili wameanza kuimba mambo ambayo si injili? Huyo kijana anasali kanisa gani tujue misimamo ya kisiasa ya mchungaji wake?
 
Haaaahaa mkuu msamehe tu huyu bwana.
Kauli ya huyu mchungaji inashabihiana na Askofu Barnabas Mtokambali, aliitoa Dodoma mbele ya Magufuli kuwa yeye habweki hadharani bali huomba kuonana na mkuu wa nchi, wakati huo akimtunukia tuzo ya coronaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Wapentecoste wachungaji wanafiki sana.

Elia alimuonya na kumkemea Ahabu kwa uovu wake lkn wao wanajiona wana hekima saana kutokemea uovu
 
Anaimba bandari siku hizi.
Ana nyimbo nyingi tu.

Ni hivi, tangu zamani watumishi waliposhauri Watawala na kupuuzwa,

Waliacha madhabahu na kuwaendea huko waliko kuwakemea.

Nenda kasome Nabii Samweli alivyofanya Kwa Sauli, Na manabii wa Kweli hawapokei bahasha za khaki.

Anakupa UKWELI mchungu hachukui hata mia na humfanyi kitu maana ametumwa na Mungu.
 
Kumezoea kuficha ufagio na majembe uvunguni, ujinga mtupu
 
Acha ujinga, unataka tuwapinge kwa kificho watu wasio na hofu ya mungu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…