Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Acha basi kutukana dogo.Mbona hii comment umekata
Mbona hii comment imekaa kishoga au ni id nyingine ya ajuza mkuu faiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha basi kutukana dogo.Mbona hii comment umekata
Mbona hii comment imekaa kishoga au ni id nyingine ya ajuza mkuu faiza
Wacha blah blah, hakuna unabii wa namna hiyo. Hizo mbwembwe tu. Kuna nabii gani kwenye Biblia alitabiri kama unayosema wewe. Acha uongo na upotoshaji dogo. Sijui kwanini kila kitu sasa mnakiweka kwenye mlengo wa kisiasa. Yaani mtu akikataa kuamini unachoamini na kutaka unalazimisha siasa.
Ndio ulivyo zoea kuwaita dogo basha wakoAcha basi kutukana dogo.
Haaaahaa mkuu msamehe tu huyu bwana.Wasengenyaji mnoo, halafu waoga.
Hawa ni wachungaji wangu nawajua nje ndani.
Elimu ya kuunga unga haiwapi ujasiri kukosoa, wengi ni weupe sana kichwani.
Pili wamejaa umaskini, wanakimbizana na sadaka na mafungu ya kumi tu.
Kama ana bisha aseme kanisa lake hapa
Hizi ni blah blha zako tu mnatulazimisha wote tuandamane na kutukana watawala kama hatuna akili? Sisi ni viongozi tuna watu tunawaongoza na hatuwezi kusimama mbele na kashfiana na viongozi wenzetu. Haya ya kuzini wewe wasema kwani hata hao maaskofu akina yule wa KKKT Karagwe mnayemuona shujaa amezaa na mke wa mtu, hao maaskofu na mapadri wa Kiroma ndio wenyewe tena wao hadi wanalawiti watoto wa kiume. Mashehe na maustadhi nao hivyo hivyo. Kwa hilo, mmetukosa hatusimami na kushutumu mamlaka ili tuonekane mashujaa. Sisi wajibu wetu ni kuwashauri tu.
Sijuhi huo wimbo lakini kama ameimba kuikosoa Serikali kosa liko wapi? Mbona mwimbaji akiimba kusifia hiyo serikali hakamatwi wala kuhojiwa? Ni kasumba mbaya iliyoanza kupandikizwa na kuota mizizi kipindi cha jpm, mwanzoni Rais wa Sasa alianza kuonyesha ukomavu, lakini baada ya haya madudu yanayofanywa na serikali yake nae anaanza mwelekeo mbaya.Hao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
80% I know these wachungaji dada, sina haja ya kutuhumu watu kwa uwongo.Sio wote kaka🤭nI baadhi tu
Wengine wako vzr
Binti kimoso ndio alipewa.😩😄😆Wajibu wa kushauri Nani aliwapa?
Nimeiona, mada inaongelea Wimbo na ndo unaotufanya tujadili hapa.Rabbon Ione hii
Haya umeshinda kuwa na usiku mwema.Ndio ulivyo zoea kuwaita dogo basha wako
Anaimba bandari siku hizi.Nimeiona, mada inaongelea Wimbo na ndo unaotufanya tujadili hapa.
Mbarikiwa hajaacha kuomba, na Yeye ndo mwalimu wa huyo aliyetiwa nguvuni Kwa kukemea UOVU kupitia uimbaji.
Binti kimoso ndio alipewa.😩😄😆
Kauli ya huyu mchungaji inashabihiana na Askofu Barnabas Mtokambali, aliitoa Dodoma mbele ya Magufuli kuwa yeye habweki hadharani bali huomba kuonana na mkuu wa nchi, wakati huo akimtunukia tuzo ya corona😂😂😂.Haaaahaa mkuu msamehe tu huyu bwana.
Ma CCM yalikudanganya ikiwa usiku kwako ni dunia nzimaHaya umeshinda kuwa na usiku mwema.
Utamuua hakutegemea haya🤣🤣Wajibu wa kushauri Nani aliwapa?
Ana nyimbo nyingi tu.Anaimba bandari siku hizi.
Kumezoea kuficha ufagio na majembe uvunguni, ujinga mtupuSijuhi huo wimbo lakini kama ameimba kuikosoa Serikali kosa liko wapi? Mbona mwimbaji akiimba kusifia hiyo serikali hakamatwi wala kuhojiwa? Ni kasumba mbaya iliyoanza kupandikizwa na kuota mizizi kipindi cha jpm, mwanzoni Rais wa Sasa alianza kuonyesha ukomavu, lakini baada ya haya madudu yanayofanywa na serikali yake nae anaanza mwelekeo mbaya.
Utamuua hakutegemea haya🤣🤣
Acha ujinga, unataka tuwapinge kwa kificho watu wasio na hofu ya mungu??Hao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.