jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
sahihi na wale waandishi wa habali wa tbc wanaompamba yule bibi kwenye hafla mbali mbali wakamatwe maana wanasema uongo na si wazarendo kwa kumpa sifa mtu ambaye hajiweziNa akiimba wimbo wa kumtukuza rais akamatwe pia maana rais hana sifa zaidi ya kuwa mama Abdul
Yaani muue mwanae halafu mnamwambia ajinyenyekeshe?Hao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
Bora akimbie afiche aibu yakeMtumishi naona anataka kunikimbia kijanja
Katika kusoma kwangu biblia toka agano la kale mpaka agano jipya manabii na mitume wa kweli asilimia kubwa walikuwa hawaelewani na wenye mamlakaHao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
Soma Hesabu 22.Anaimba bandari siku hizi.
Ndio Hawa watumishi fake,Katika kusoma kwangu biblia toka agano la kale mpaka agano jipya manabii na mitume wa kweli asilimia kubwa walikuwa hawaelewani na wenye mamlaka
Hao manabii na mitume walikemea Zambi na makosa ya watu na viongozi wao
Nabii Elia Yohana mbatizaji na wengine wengi walikemea viongozi bila kinga'atang'ata maneno
Hii nchi imejaa rushwa, ufisadi, uchawi, na kila aina ya mabaya,
Lini viongozi wa dini mmesimama na kukemea hayo maovu ya serikali
Nyie mmekuwa kama wale manabii arobaini walioingiwa na pepo ili wamdanganye mfalme aende vitani akauwawe.
We kama mwoga kaa pembeni na waache watumishi wa Mungu wasio wanafiki waseme ukweli na kukemea maovu kiuhalisiaHao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
Mzee magembe😅😅80% I know these wachungaji dada, sina haja ya kutuhumu watu kwa uwongo.
Yaani 80% wapo after money, ni watu wakiofeli kimaisha waka opt. Kuwa wachungaji.
Na hawa ni watu wa ajabu sana, wanawachukia wachungaji wenzao walionyooka.
Mfano mdogo wanamchukia sana Mchungaji Magembe wa Majumba sita pale Dar, kisa tu anawapa ukweli mchungu.
Kila mtu ana njia yake ya kufikisha ujumbe. Wewe kama unaiogopa serikali Kaa pembeni.Hao ni vijana wa Mbarikiwa Mwakipesile na huwa tunamshauri sana aache kushindana na dola na kama anainba kuisema serikali aimbe na kusema yeye kama yeye na asihusishe kanisa na Ukristo kwenye mambo yake. Yule ana shida kidogo kwa. Suala lake binafsi liniiuma sana kwani nilikuwa nampenda na kupenda zile tenzi wanazoimba.
Sasa amejiingiza kushambulia serikali bila sababu akisema wamemuulia mwanaye tena Mkurugenzi wa usalama wa Taifa ndio kafanya hivyo. Jamaa hashauriki, vijana wake hao waliokamatwa hawashauriki wao wanatokana na kujiona wajuaji kama genta alivyo. Kiburi, kutojinyenyekesha, ujuaji mara nyingi huenda kwenye anguko.
Sasa kumezuka wimbi kubwa la watumishi wanaosimama na kuoneshana umwamba na serikali. Hakuna duniani mtumishi wa Mungu aliwahi ishinde dola nasi wajibu wetu ni kushauri na kuiombea mamlaka na siyo kushindana nayo.
Mimi ni kiongozi wa Kanisa na ni miongoni mwa wajumbe CPCT Taifa, kama wapentecoste tulishauri na kutoa maoni yetu kwa Mamlaka kuhusu Bandari kwani nasi tunaaminiwa na watu hatuwezi mshutumu mfalme mbele za watu.
Tulikumbushia kwa Spika wakati wa mkutano wetu mkuu pale CBC Miuji Dodoma kuhusu maoni yetu na msimamo wetu ki sio kushindana wala kupinga hadharani.
🤣🤣🤣We kenge upewe bandari na nani?
Embu toka hapa usikae kudandia mada za maana za watu kwa upuuzi wako.
Unawapenda sana waarabu nenda na msuli bila Chupi kwao huko mkatafute wajukuu
Punguza uongo, eti Yesu aliuliwa na Dola.Acha nawe kupotosha. Kuna sehemu Eliya alimtukana Ahabu? Kuna sehemu Eliya alimshutumu Ahabu? Mnampotosha na yule kuanguka hashauriwi namfahamu nawafahamu wale vija wake na mkewe na wala sijihesabii haki na mwache kumpampu ujinga. Kuna sehemu Eliya alimshinda ahabu? Akina Petro, Yakobo na Paulo waliuliwa na Dola. Yesu aliuliwa na Dola. Hakuna mtumishi wa Mungu aliyewahi ishinde dola narudia na afanyavyo ni watu wasio na akili pekee ndio wanamuunga mkono. Akina Eliya walienda kuonya na sio kutukana. Wacha maneno yako haya.
Kama CPCT tulishatuma mtu kumuonya, kumshauri na kumueleza aache haya. Anajibu hovyo na kiburi. Kiburi kile sio cha Kimungu hata usemaji na sasa mnajifichia kuhukumu nankujihesabia haki. Kwake namhukumu na najihesabia haki. Mi nakaa na kutumika Mbeya, tumemuita na kuongea, hasikii wala haambiliki yule.
Basi muombeeni maana km hashauriki na alikuwa vzr tu Kuna mahali adui kapata mlango!Kiburi na kutokushaurika ndio chanzo cha anguko. Binafsi ni mpenzi wake na nina nyimbo zake nyingi sana za tenzi. Wengi wale walioanza naye wameachwa naye baada ya kuona alivyo. Sasa kuokoteza vijana anawapelekesha atakavyo. Kuna kijana mmoja anaitwa Ulimwengu Milenga alikuwa naye kikosi akaamua kujitoa kikosi, akaanza mtukana na kumlaani. Anguko lake lilishaonelana toka alipoanza tokana watu kwenye kipindi cha korona. Kama kanisa tulidhatuma watu wamshauri na kumrejesha kwa upendo tulichoambulia ni matusi. Fuatilia watoro wake akina Onesmo Mwakajila, Isaya n.k. fuatilia namna pia walivyomshambulia Kuhani Lawi alipomshauri tena hadi kutengeneza voice note fake ya kumchafua.
Kwahivyo huyu anaonekana mwoga au mnafikiWe kama mwoga kaa pembeni na waache watumishi wa Mungu wasio wanafiki waseme ukweli na kukemea maovu kiuhalisia
Wewe mbona hauna unyenyekevu?. Umejaa unafiki. Mwenzako anadai mtoto wake kauawa wewe unadhihaki na kukebehi.Ndio mnajifichia huko siku hizi mkimbiaji ukweli. Eti leo mkuu wa usalama wa Taifa ameua mtoto wa Mbarikiwa. Yaani aue mtoto kwa kosa gani? Mbarikiwa ana tishia nini kwenye usalama wa nchi? Mbarikiwa ana influence gani nchini? Mbarikiwa ana watu wangapi wanaosikiliza? Wale kikosi kazi hata 50 hawafikii.
Mtoto kafa tokana na ajali ya Gari wakati wanaenda kuhubiri kule kanda ya ziwa. Baada ya kupata ajali, baada wampeleke hospitali au wamrudishe Mbeya, wamelazimisha naye amelazimisha kwenda kwenye mkutano eti ni shujaa anataka afe pamoja na Baba yake. Mtoto akawa na maumivu ya ndani kwa ndani ndio kilimuua. Sasa hapo mkuu wa usalama wa Taifa kahusikaje?
Tunafahamu utumishi wa Kimungu umejengwa katika unyenyekevu. Ukitaka kujua fuatilia watoto wake akina Onesmo Mwakajila hata yule Ulimwengu aliamua kujitoa kikosi na alivyoshambuliwa. Mwulize Kuhani Lawi alivyomshauri alichokutana nacho toka kwa hao watoto wake. He is psychiatric, wampime akili na wamcontrol haraka ataleta maafa kama ya Shakahola.
Unajiita mtumishi wa Mungu huku umejaa dharau na kebehi. Mnafiki Sana.Kumbe unamfuatilia. Amechanganyikiwa yule kwa kweli.
Sasa ikiwa BANDARI zote zitapewa wageni, waumini wanaoabudu Kwa Mbarikiwa Si watakuwa jobless!!!Anaimba bandari siku hizi.
Naye anao uhuru wa kutoa maoni yake. Usimlazimishe atoe maoni yake.Kuna mtumishi alimkemea mfalme hadharani? Hao akina Eliya walikemea wafalme hadharani? Hao akina Eliya walikemea au walikutana? Mwakipesile anakemea au anatukana na kushindana? Hili la kusema akikupiga shavu Hili mwenzie na Hili umepitwa na wakati umelitoa wapi? Hahaaaaaa, huna ujuacho mzee, unalazimisha wachungaji wote tushauri na tukemee bila utaratibu wakati tuna CPCT na ujumbe wetu tuliufikisha kwa Rais na tulimkumbusha tulia pale CBC Miuji Dodoma. Hakuna utumishi wa Mungu bila hekima.na utaratibu. Msimamo wa kushauri namna nzuri ya uwekezaji katika bandari ni wa kanisa zima. Tulikaa na wataalamu wetu wa sheria na kupitia mkataba then tukamshauri mtawala. Ulitaka tuandamane? Very funny.
Hajui BIBLIA huyo, Yesu aliuwawa na WAYAHUDI.Punguza uongo, eti Yesu aliuliwa na Dola.
Nafikiri mtu akikuuliza kuhusu mtumishi Mwksg unamfahamu nje ndani.Mzee magembe😅😅
Nampendaga na mambo yake ....
Ila 80%hapana bwana hii kubwa sn
Akili ya kukuelewa sidhani kama ipoNaye anao uhuru wa kutoa maoni yake. Usimlazimishe atoe maoni yake.