Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Awashughulikie kivip? Japokuwa nasikitika kwa hili tukio.Kuna umuhimu wa kuwajenga wananchi kuwa na mawazo chanya katika mapambano.
Kwa nini asiwaze kuwashughulikia waliokamata mifugo yake?
Kama kawaida yetu. Mifugo ikidakwa watu wanaona wameonewa. Wameonewa kivip wkt sheria ziko wazi?Alifanya mkutano na hao waafugaji akawaambia anawapa wiki moja watoe mifugo yao huko kwenye hifadhi la sivyo itakamatwa. Ila Kama kawaida ya wabongo, wakawa vichwa ngumu
Au nasema uongo ndugu zangu?Pole yake sana
Kuna kauzi kalitrend asubuhi kuwa serikali ianze kutoza kodi kwa kila ng'ombe
Niliona mazingira sio rafiki saa hii kuna mfugaji kasepa kawaachia ng'ombe
Kiukweli mazingira sio rafiki kivile kwa wafugaji
Kaka mm ni shahidi. Elimu wamepewa.. toka enzi za JK.Kwa hiyo serikali imeshindwa kabisa kuwaelimisha hawa wafugaji wa kuhama hama kubadili hii aina ya ufugaji?
Miaka nenda sasa jamii ya Wamasai, Wabarbaig, Wasukuma, nk. Wamekuwa wakihama hama hovyo na idadi kubwa ya mifugo wakitafuta maeneo ya malisho, huku wakifanya uharibifu mkubwa wa mazingira!
Ni kwa nini wasitafutiwe maeneo maalum ambayo watatulia na mifugo michache, huku wakiifuga kisasa badala ya kiholela kama ilivyo desturi yao ya vizazi na vizazi!!!
Labda kitu cha ArushaChalamila anatumia "BANGE" ya wapi?
Jeshi la polisi liwachukulie jeshi la uhifadhi hatua?Nimesikitika Sana na kifo Cha mfugaji huyo
Hao waliokamata ng'ombe wake wanahusika mojakwamoja na kifo hicho tutegemee Jeshi letu la Polisi litawachukulia hatua stahiki wore waliosababisha kifo hicho
Alaa kumbe walijua utani vile!Alifanya mkutano na hao waafugaji akawaambia anawapa wiki moja watoe mifugo yao huko kwenye hifadhi la sivyo itakamatwa. Ila Kama kawaida ya wabongo, wakawa vichwa ngumu
Kimbadikisha mtu tabia ya kuridhi huwa ni ngumu sana, sio kazi raisi hivyo, unavyoona ng'ombe kiburi chake na mfugaji hivyo hivyoKwa hiyo serikali imeshindwa kabisa kuwaelimisha hawa wafugaji wa kuhama hama kubadili hii aina ya ufugaji?
Miaka nenda sasa jamii ya Wamasai, Wabarbaig, Wasukuma, nk. Wamekuwa wakihama hama hovyo na idadi kubwa ya mifugo wakitafuta maeneo ya malisho, huku wakifanya uharibifu mkubwa wa mazingira!
Ni kwa nini wasitafutiwe maeneo maalum ambayo watatulia na mifugo michache, huku wakiifuga kisasa badala ya kiholela kama ilivyo desturi yao ya vizazi na vizazi!!!
Mwee jamaniiiiiHivi ng'ombe 50 unapitisha mtaani na kwenye mashamba ya watu bila aibu? Acha tu ajinyonge waliobaki wajifunze kufuga kisasa.
Hivi ng'ombe 50 unapitisha mtaani na kwenye mashamba ya watu bila aibu? Acha tu ajinyonge waliobaki wajifunze kufuga kisasa.
Mifugo imekamatwa na serikali asikwepe tuhuma huyoHahaha RC kajibu kikauzu
Duh
Ova