Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

Tuishi humo 👇👇
 

Attachments

  • twitter_20210906_160702.mp4
    1.1 MB
State Attorney kaandika "the facts which she knew were false."

BADALA YA: Claims which she knew were false.

Anamtuhumu mtu kwa kutoa "facts za uongo." Anakiri kwamba zilikuwa ni facts!

Huwa namlaumu sana yule Prof aliyebuni kuanzishwa Law School miaka 10 iliyopita (ni marehemu sasa). Ime prove haisaidii kitu. Ali argue kwamba watoto wanatoka chuoni bado vichwa panzi. Tukasema walipaswa warekebishe mafunzo, sio kuongeza ki mwaka kingine cha shule nyingine ya yale yale! We were right. Not to mention mikataba mkenge wanayoliandikia Taifa.
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu Law school ilianzishwa na Profesa Sifuni Mchome , bado yuko hai

Niko tayari kusahihishwa
 
Wewe nimpinzani wa Nini?(unapinga nini,?)
 
Mhhhh!!!!?🤣🤣😂😂😂😂🪑
 
Mamlaka zinatia AIBU
 
Serikali ya CCM imesaidia Sana kusambaza huu wimbo, face book na kwingineko kila mtu anaomba huu wimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…