Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuishi humo 👇👇Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.
Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!
Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.
Kwa sababu mnatuona NYANI..Huyo RPC wa Mbeya na yeye anataka kuonekana, au!! Sasa hiyo ndiyo kesi gani!!! Yaani haina kichwa wala miguu.
HehheheWalidhani kwa kumdhibiti Nay wa Mitego wamemaliza kazi.
Kuke Mbeya mtafunga wote,
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu Law school ilianzishwa na Profesa Sifuni Mchome , bado yuko haiState Attorney kaandika "the facts which she knew were false."
BADALA YA: Claims which she knew were false.
Anamtuhumu mtu kwa kutoa "facts za uongo." Anakiri kwamba zilikuwa ni facts!
Huwa namlaumu sana yule Prof aliyebuni kuanzishwa Law School miaka 10 iliyopita (ni marehemu sasa). Ime prove haisaidii kitu. Ali argue kwamba watoto wanatoka chuoni bado vichwa panzi. Tukasema walipaswa warekebishe mafunzo, sio kuongeza ki mwaka kingine cha shule nyingine ya yale yale! We were right. Not to mention mikataba mkenge wanayoliandikia Taifa.
Aweke huo wimboWeka hiyo nyimbo
Hakika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🪑Walidhani kwa kumdhibiti Nay wa Mitego wamemaliza kazi.
Kule Mbeya mtafunga wote,
Wewe nimpinzani wa Nini?(unapinga nini,?)Mimi kweli ni Mpinzani Damu na Nyama lakini hawa Vijana wa Mwakipesile wapimwe akili ni Vilaza sana, Ukiwasikiliza hoja zao ni watu Wanaotumika tu hata wanachokizungumza hawakifafanui vizuri.
Wasali waliombee taifa waachane na siasa chafu wanaidharirisha imani yao walipofikia huyo sio Yesu tena ni ni akili za Binadam zinawaendesha.
Mhhhh!!!!?🤣🤣😂😂😂😂🪑Haki na Aman havitafutwi hivyo, Hao wana Mihemko. Na hii ndo shida ya watu wa Iman wakiamin jambo wanalikomalia haswa bila hata kulitathmin kwa kina.
Nami sidhan kama ni kazi ya Dini kushindana na Serkal wao wakiamua kuingia kwenye siasa waweke gamba la dini pembeni. Yesu hakusolve kwa njia wanazotumia wao.
La kijani, [emoji172]Nimependa sare zao nitashona langu moja niwe naenda nalo kwny mikutano ya ccm...
Mamlaka zinatia AIBUKwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili.
Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye Ezekiah wakituhumiwa kuandaa wimbo wa “Tanzania Inaelekea Wapi?” unaodaiwa kuwa na maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali.
================
Wakili Jebra Kambole amesema waliosomewa mashtaka watu watatu karika Mahakama ya Hakimu Mkazi Jijini wote shtaka lao ni moja ambalo ni "Kusambaza Taarifa za Uwongo kwa njia ya Mtandao".
Mtuhumiwa wa kwanza na wapili wote ni waimbaji ambao ni Sifa Boniventure Bujune na Salome Mwampeta, wa tatu ni mtayarishaji (prodyuza) Hezekiel Millyashi George.
Amesema "Baada ya kusomewa mashtaka watuhumiwa wote wamekana mashtaka, upelelezi haujakamilika na hivyo wameruhusiwa kupata dhamana kesi yao itarejeshwa Mahakamani Oktoba 3, 2023, tupo tunashughulikia suala la dhamana."
Watuhumiwa walishikiliwa tangu Septemba 13, 2023 wakituhumiwa kuandaa wimbo wa “Tanzania Inaelekea Wapi?” unaodaiwa kuwa na maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali.
Pia soma : Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
Sasa kuna uongo gani hapo unaomwogopesha mtawala?Huu hapa
Kwa uongo mpo vizuri kuliko huyo RPC.Wenye nchi ni wananchi , tulimtimua Amos Makalla DSM akiwa RC ndio awe RPC ?