ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Inaelekea kufutwa kabisa. Vyombo vya dola vifuate sheria siyo kufanya kazi chini ya shindikizo maana siku ya mwisho lawama zitakuwa siyo kwa aliyetoa shindikizo bali ninyi watenda kazi vituoni.
Kwa hulka ya Sifa Bujune atakuwa ni raia kutoka nchi jirani. Hawezi kuwa mwenzetu huyuView attachment 2757112
Pichani ni mwimbaji wa wimbo unaouliza "Serikali Mnatuona Nyani?"
Ameshikiliwa siku nne pasipokufikishwa Mahakamani kinyume cha sheria badala ya kupatiwa jawabu kwa swali lake?
Serikali inavunja sheria halafu unawataka raia kutii sheria bila shuruti.
Undumilakuwili huu utakuja kuitokea puani serikali siku moja.
Serikali jifunzeni kusoma alama za nyakti.
View: https://youtu.be/nKrdDxIZ_hw
Kwa hulka ya Sifa Bujune atakuwa ni raia kutoka nchi jirani. Hawezi kuwa mwenzetu huyu
Kumbe Kuna ya kenge...😂Kwa hiyo wanataka kumnyangaya kadi ya NIDA kama walivyomfanya Askofu NiweMugizi?
Wanafukuza upepo.
Mbona sasa tayari kumetoka wimbo wa pili unaouliza, "Serikali Mnatuona Kenge?" wakati huyu bado yuko gerezani?
Mtu mzima hatishiwa nyau!
swali zuri sana, na muhimu mno. ungeenda pale kituo cha polisi aliposwekwa ndani, ocd angetishika sana na halafu ungepewa jibu muafaka kabisaView attachment 2757112
Pichani ni binti aitwaye Sifa Bujune.
Ni mwimbaji wa wimbo unaouliza "Serikali Mnatuona Nyani?"
Ameshikiliwa siku nne pasipokufikishwa Mahakamani kinyume cha sheria badala ya kupatiwa jawabu kwa swali lake?
Serikali inavunja sheria halafu unawataka raia kutii sheria bila shuruti.
Undumilakuwili huu utakuja kuitokea puani serikali siku moja.
Serikali jifunzeni kusoma alama za nyakti.
View: https://youtu.be/nKrdDxIZ_hw
https://www.facebook.com/Hao si wa kuwachekea.....
Akajibu kesi yake ya kusambaza uongo dhidi ya dola....
Wa SimbaWewe nimpinzani wa Nini?(unapinga nini,?)