Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

Nyani sio mnyama fala ni mnyama mjanja mjanja kwa asili. Naiona hii kesi serekali ikishindwa saa nne asubuhi. Labda huyo muimbaji angesema serekali inawaona mbuzi. Maana mbuzi ni mnyama anayechinjwa bila kelele na mara nyingi hutumika kwenye makafala.
 
Inaelekea kufutwa kabisa. Vyombo vya dola vifuate sheria siyo kufanya kazi chini ya shindikizo maana siku ya mwisho lawama zitakuwa siyo kwa aliyetoa shindikizo bali ninyi watenda kazi vituoni.

Mbeya, Tanzania

Sakata la mwimbaji
Wakili msomi Boniface Mwabukusi akemea tabia ya vyombo vya dola kufanya kazi kinyume cha sheria.

View: https://m.youtube.com/watch?v=BsiJzIbu1FI
 
1695299558116.png

Pichani ni binti aitwaye Sifa Bujune.

Ni mwimbaji wa wimbo unaouliza "Serikali Mnatuona Nyani?"

Ameshikiliwa siku nne pasipokufikishwa Mahakamani kinyume cha sheria badala ya kupatiwa jawabu kwa swali lake?

Serikali inavunja sheria halafu unawataka raia kutii sheria bila shuruti.

Undumilakuwili huu utakuja kuitokea puani serikali siku moja.

Serikali jifunzeni kusoma alama za nyakti.

View: https://youtu.be/nKrdDxIZ_hw
 
View attachment 2757112

Pichani ni mwimbaji wa wimbo unaouliza "Serikali Mnatuona Nyani?"

Ameshikiliwa siku nne pasipokufikishwa Mahakamani kinyume cha sheria badala ya kupatiwa jawabu kwa swali lake?

Serikali inavunja sheria halafu unawataka raia kutii sheria bila shuruti.

Undumilakuwili huu utakuja kuitokea puani serikali siku moja.

Serikali jifunzeni kusoma alama za nyakti.

View: https://youtu.be/nKrdDxIZ_hw

Kwa hulka ya Sifa Bujune atakuwa ni raia kutoka nchi jirani. Hawezi kuwa mwenzetu huyu
 
Kwa hiyo wanataka kumnyangaya kadi ya NIDA kama walivyomfanya Askofu NiweMugizi?
Wanafukuza upepo.
Mbona sasa tayari kumetoka wimbo wa pili unaouliza, "Serikali Mnatuona Kenge?" wakati huyu bado yuko gerezani?
Mtu mzima hatishiwa nyau!

View: https://youtu.be/K4z0jc7UJd0
 
Kwa hiyo wanataka kumnyangaya kadi ya NIDA kama walivyomfanya Askofu NiweMugizi?
Wanafukuza upepo.
Mbona sasa tayari kumetoka wimbo wa pili unaouliza, "Serikali Mnatuona Kenge?" wakati huyu bado yuko gerezani?
Mtu mzima hatishiwa nyau!
Kumbe Kuna ya kenge...😂
 
View attachment 2757112

Pichani ni binti aitwaye Sifa Bujune.

Ni mwimbaji wa wimbo unaouliza "Serikali Mnatuona Nyani?"

Ameshikiliwa siku nne pasipokufikishwa Mahakamani kinyume cha sheria badala ya kupatiwa jawabu kwa swali lake?

Serikali inavunja sheria halafu unawataka raia kutii sheria bila shuruti.

Undumilakuwili huu utakuja kuitokea puani serikali siku moja.

Serikali jifunzeni kusoma alama za nyakti.

View: https://youtu.be/nKrdDxIZ_hw

swali zuri sana, na muhimu mno. ungeenda pale kituo cha polisi aliposwekwa ndani, ocd angetishika sana na halafu ungepewa jibu muafaka kabisa
 
Hivi kweli state attorney wa kudraft charge kama hii haifikirii kitakachotokea mahakamani kuwa aibu kwake?!
 
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama huyu Shangazi
 
Back
Top Bottom