share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Hizi ni dalili za dola inayoanguka.Hao polisi wakiambiwa wathibitishe huyo kijana ni yupi wataweza!?
Kesi nyingine ni kutaka kujidhalilisha tu na kupoteza muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni dalili za dola inayoanguka.Hao polisi wakiambiwa wathibitishe huyo kijana ni yupi wataweza!?
Kesi nyingine ni kutaka kujidhalilisha tu na kupoteza muda tu
Imebaki muda kidogo sana kuanzia sasa serikali itajutia uasi inaoutengeneza kwa mikono yake yenyewe maana hiki kinachotokea Mbeya kitaenea na kutekelezwa kwa nguvu maeneo mengine ya nchi ili viongozi waelewe kwamba wanawanyanyasa wananchii na kuwanyima haki zao. Mwimbaji wa nyimbo za injili katika wimbo waliouimba maudhui yake yana madhara gani na kwa nani?Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.
Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!
Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.
View attachment 2754827
View attachment 2754828
Tunakuja Kanda ya Nyasa wiki ijayovipi mikutano ya lisu inaendeleaje?
Unapendekeza ??Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.
Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!
Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.
Sasa kosa la wimbo huu ni nini? Mbona aliyisema ndio yaliyopo?
NaamuruU
Unapendekeza ??
Sawa mzee
Hamkumtimua kaziWenye nchi ni wananchi , tulimtimua Amos Makalla DSM akiwa RC ndio awe RPC ?
Hata kama , mwache akapambane na mawe huko Busisi
Div IV ya point 32 hiyoMsanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.
Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!
Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.
Anziaeni Ruvuma, shukeni kuja Mtwara, njooni Lindi, na mwambao wa Pwani ya Kilwa,, Mafia, Rufiji-Utete, Kibiti Na Mkuranga mtanishukuru.Tunakuja Kanda ya Nyasa wiki ijayo
Aibu kubwa sana !Hata kama polisi ni jumuiya ya CCM muda mwingine pamoja na akili za kuambiwa wawe wanachanganya na akili zao, wakiegemea upande mmoja tu wa kutaka kumfurahisha Bwana wao watakuwa wababaishaji Siku zote.
Mkuu Hakuna kijiji kitakachobakizwa , Isipokuwa ratiba iliyotolewa na Kamati Kuu inaelekeza kituo kinachofuata kwa oparesheni 255 ni Kanda ya Nyasa , huko ulikotaja kwa sehemu kubwa ni Kanda ya kusiniAnziaeni Ruvuma, shukeni kuja Mtwara, njooni Lindi, na mwambao wa Pwani ya Kilwa,, Mafia, Rufiji-Utete, Kibiti Na Mkuranga mtanishukuru.
Changamoto za kusini
1. Mkataba wa gesi kwa waliouziwa ni kwamba ni kuhakikisha Mtwara na Lindi umeme haukatiki, lakini kinyume chake tangu awamu hii imeanza kuna malalamiko mengi ya kukatika umeme na majibu ya shombo
2. Kuna madalali wa mashamba na mazao ya mikorosho kutoka kwa wanasiasa wenye mlengo kandamizi na ufisadi, wananchi wakipunjwa na kucheleweshewa malipo baada ya kukabidhi mazao yao na kupewa stakabadhi ghalani
3. Dangote kapewa eneo kubwa sana la uwekezaji wa kiwanda cha simenti ambapo ukubwa wake unaweza kufikia baadhi ya maeneo ya wilaya nzima ambapo anachimba mawe na kuwauzia Twiga simenti. Bei ya sementi yao iko juu kinyume na ahadi ya kushusha soko kwa kuzalisha kwa wingi
4. Miundo mbinu mibovu na miradi hewa mingi kama pembejeo ni mateso matupu mapori mengi yanahodhiwa na viongozi wa kisiasa au wafanyabiashara huku wananchi wakihamishwa kwa madai maeneo yalipimwa zamani isiyojulikana wakati wameishi hapo vizazi kadhaa
Nk
Kwa hiyo kanda ya Nyasa ni Njombe na Ruvuma?Mkuu Hakuna kijiji kitakachobakizwa , Isipokuwa ratiba iliyotolewa na Kamati Kuu inaelekeza kituo kinachofuata kwa oparesheni 255 ni Kanda ya Nyasa , huko ulikotaja kwa sehemu kubwa ni Kanda ya kusini