Mbeya na Iringa wananchi wamejenga nyumba za kijima

Huko si ndiko wanakosema ukionekana umejenga nyumba mzuri sana kesho huamki?
Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.

Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
20231012_091652.jpg
 
Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.

Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
Utakuwa na pesa ukose nyumba Bora?
Siyo mimi ni mleta mada amesema hapo juu,kuwa na pesa ni kitu kingine kuwa na mwamko wa kujenga ni kitu kingine.

Au kuna kitu kitakuwa kinawazuia either hawapapendi kwao au wanaogopa uchawi.
 
Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.

Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
kupanga ni kuchagua mkuu,

Jenga yako ya nondo na mawe! inakutosha wewe!
 
Back
Top Bottom