Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Eti Wivu Wa Mapenzikamuua kisa nini?
Mara zote wabovu wa akili huwa hawawezi kunielewa ninacho andika.Ati meneja wa makampuni...andika yako tu mazonge😏
Bwana ehhHumu tungetukanwa na kundi la watetezi wa akina mama usiku kucha
Pole Sana, inaonekana u muhanga wa haya MAPENZI.Mapenzi mapenzi yanahitaji akili na uvumilivu kweli.
Nakumbuka siku namaliza mtihani wa kidato cha 6 nilirudi ghetto huku na furaha tele. Nafika tu mtaa niliopanga ghetto langu namtafuta manzi wangu tupige picha ya ukumbusho akataa kabisa hali inabadilika natokwa na jasho na mwili unalowa.
Nilikua nampenda saana yeye aliishia kidato cha 4. Kesho yake namfata kwao kujua kulikoni namfumania na njemba, akili ziliniruka kama mweu nilitembeza kipigoo hatari nilikua nasikia tu majirani wanasema nitauaa. Kila nikiwaza tukio lile ningeishia polisi na kuniharibia future zangu shukrani zimuendee dada wa bint ambaye alizuia wasiende polisi.
Nikiwa chuo tena yakanipata nilikua na mahusiano na bint mwanachuo nikajikuta nampa ujauzito kumbe nyumbani alikua na mahusiano na jamaa mimi nilidanganywa. Yule jamaa alipogundua alikua mbogo aswaa pona yangu ni umbali maana matusi, vitisho tele.fikiri kama tungekua karibu. Wakafanya mchakato wakautoa ule ujauzito najua jamaa aliumia sana.
Nilimaliza salama na bahati nikapata ajira, nafurahia maisha ya single. Wao hadi leo hawajaolewa.
Pumzika kwa Amani kamanda!!
Kesi za mauaji zinasikilizwa na majaji tu. Foleni yake usipime, kama hauna msuli (fedha na influence), utasubiri sana kupangiwa huyo jaji. Sio ajabu watu kukaa miaka hata 15 wakipigwa danadana. Halafu unakuta kesi inatajwa January, then kutajwa tena May. Atakaa sanaWhy 2030??
Pole Sana, inaonekana u muhanga wa haya MAPENZI.
Una upeo mfupi wa akili...pole sanaMara x
Mara zote wabovu wa akili huwa hawawezi kunielewa ninacho andika.
Sasa hata wewe kama ni mbovu wa akili huwezi kunielewa. Ni ngumu sanaa.
Yaani wewe ukinizidi akili basi natoweka duniani mkuu. Uwezo nilio nao wewe unaingia Mara 10000Una upeo mfupi wa akili...pole sana
Uwezo wa akili ya mtu haupimwi mtandaoni mkuu,Una upeo mfupi wa akili...pole sana
Nimekuzidi akiliUna upeo mfupi wa akili...pole sana
Wekeni picha za Warembo nilinganishe nimalize mchezoNimekuzidi akili
Nimekuzidi pesa
Nimekuzidi hekima
Ni kipi ulichonizidi, umenizidi mwandiko au