Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Tabia za mkikorofishana mnavamiana mwilini ni nini lakini?
Kumchoma kabisa na kitu. Ila anaweza kuwa huru mbona Rhoda Daudi alimtia kisu Geoffrey na sasa anapeta mtaani na kutukana watu mitandaoni.
 
Mapenzi mapenzi yanahitaji akili na uvumilivu kweli.

Nakumbuka siku namaliza mtihani wa kidato cha 6 nilirudi ghetto huku na furaha tele. Nafika tu mtaa niliopanga ghetto langu namtafuta manzi wangu tupige picha ya ukumbusho akataa kabisa hali inabadilika natokwa na jasho na mwili unalowa.

Nilikua nampenda saana yeye aliishia kidato cha 4. Kesho yake namfata kwao kujua kulikoni namfumania na njemba, akili ziliniruka kama mweu nilitembeza kipigoo hatari nilikua nasikia tu majirani wanasema nitauaa. Kila nikiwaza tukio lile ningeishia polisi na kuniharibia future zangu shukrani zimuendee dada wa bint ambaye alizuia wasiende polisi.

Nikiwa chuo tena yakanipata nilikua na mahusiano na bint mwanachuo nikajikuta nampa ujauzito kumbe nyumbani alikua na mahusiano na jamaa mimi nilidanganywa. Yule jamaa alipogundua alikua mbogo aswaa pona yangu ni umbali maana matusi, vitisho tele.fikiri kama tungekua karibu. Wakafanya mchakato wakautoa ule ujauzito najua jamaa aliumia sana.

Nilimaliza salama na bahati nikapata ajira, nafurahia maisha ya single. Wao hadi leo hawajaolewa.

Pumzika kwa Amani kamanda!!
 
Pole Sana, inaonekana u muhanga wa haya MAPENZI.
 
Why 2030??
Kesi za mauaji zinasikilizwa na majaji tu. Foleni yake usipime, kama hauna msuli (fedha na influence), utasubiri sana kupangiwa huyo jaji. Sio ajabu watu kukaa miaka hata 15 wakipigwa danadana. Halafu unakuta kesi inatajwa January, then kutajwa tena May. Atakaa sana
 
Dah! Ingekuwa mambo haya ya kuuwaana kwa wivu wa mapenzi yangekuwa hayatokei kwa watu wazima ningesema limetokea kwao kwa kuwa wameanza mahusiano ya kimapenzi wakiwa bado wadogo.
Mapenzi hayana mwenyewe, mhanga anaweza kuwa yeyote kwa wakati wowote ule, jambo la msingi ni kuepuka migogoro.
 
Back
Top Bottom