Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi
Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema
Source: Mwanahalisi Digital
Sawa sawaIGP ajaye
SAHIHIMatumizi mabaya tu ya kodi za wananchi.
Chadema ndio wamelitia Taifa hasara kwa kuescotiwa na police 🐼Matumizi mabaya tu ya kodi za wananchi.
Kongole kwake....Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi
Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema
Source: Mwanahalisi Digital
Duniani uoga hauishagi 🐼Hao maafande wanabahati kuwa watanzania ni waoga.Siku uoga ukiisha hakuna Cha ulinzi mkali Wala Nini.
Huo wakati hautofika...Huku ni kujidanganya.
Population ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya, na vijana wa hii nchi ni wengi zaidi ya wale wa Kenya, hivyo wakati ukifika, Polisi hawataweza kudhibiti hilo vuguvugu.
[emoji7][emoji7]Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi
Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema
Source: Mwanahalisi Digital
[emoji2956][emoji2956]Duniani uoga hauishagi [emoji209]
Sasa hofu ya kuwazuia inatoka wapi?Huo wakati hautofika...
Haukufika huko Mbeya....hautafika
[emoji7]Chadema ndio wamelitia Taifa hasara kwa kuescotiwa na police [emoji209]
Nakazia.Sasa hofu ya kuwazuia inatoka wapi?
Mbona hata kunguru sio waoga kiasi hiki?
Polisi haiwaogopi chadema....Sasa hofu ya kuwazuia inatoka wapi?
Mbona hata kunguru sio waoga kiasi hiki?
Vijana wa Tanzania,ni Vijana wa Hovyoo,Walio chagua kuwa Machawa. Kama katiba inaruhusu,niende popote,Awadhi ni Nani aliye juu ya KATIBA?Huku ni kujidanganya.
Population ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya, na vijana wa hii nchi ni wengi zaidi ya wale wa Kenya, hivyo wakati ukifika, Polisi hawataweza kudhibiti hilo vuguvugu.
Wasisahau kikokotoo cha CCM kinawasubiri wakistaafu.
Utoto huo....Upumbavu tu sasa Magufuri yuko wapi???Na Samiah saa yake inawadia maana amezidisha upumbavu kuliko hata Mtangulizi wake.
Awadhi analinda madhara ya wewe kwenda popote na huku popote ukafanya LOLOTE.....Vijana wa Tanzania,ni Vijana wa Hovyoo,Walio chagua kuwa Machawa. Kama katiba inaruhusu,niende popote,Awadhi ni Nani aliye juu ya KATIBA?
Analinda ujinga wake ili aendelee kutekeleza ujinga wake.Awadhi analinda madhara ya wewe kwenda popote na huku popote ukafanya LOLOTE.....
Ha ha ha ha John punguza bangi.Chadema ndio wamelitia Taifa hasara kwa kuescotiwa na police 🐼