Pre GE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Afande Awadh wewe ndiye unataka Vijana walete vurugu na zikitokea huwezi kuzizuia.
Vijana hatutaki vurugu zitokee....ndio kwanza vitoto vyetu hata balehe bado....

Tutaendesha bodaboda katika machafuko ?!!!

Salaam kamarada Imhotep [emoji7]
 
Kwa hiyo wewe umeamini uongo wa polisi? Chadema walikuwa wakutane Mbeya kufanya kongamano la kuadhimisha siku ya vijana duniani. Unafikiri watu wanapanga mipango mikubwa kama hiyo hadharani namna hiyo?
 
Hamtaruhusu serikali ikosolewe kama Kenya.
 
Watu wanafanya maandamano ya Amani mnawazuia, au mnataka wafanye fujo ili kama mbwai iwe mbwai
 
Huko yamewezekana kwa kuwa historia yao inatambaa kihivyo....

Mizimu ya udongo uliochanganywa 1964 hairuhusu ya Afrika Magharibi ,Kenya wala Bangladesh.....

Mwenyezi Mungu amrehemu MAO TSE TUNG ,aaamen[emoji7]
Yanaaezekana kokote, it whats happen when wananchi wanapokuwa oppressed to the maximum, not even police will stay on their ways
 
Je walipoenda Mbeya kabla ya kukamatwa kuna Siasa yoyote mbaya walifanya kule Mbeya mpaka ikafikia kuwekwa ndani kwa hisia za Kizanzibar na Kiccm?

Mbona unatutukana , hisia zipi za kizanzibari ??
 
Muda ukifika ! Kifo utuchukuwa ata kama tupo kwenye the Best Hospital😭 Atuombi yatokee ila siku yake ikifika akuna atakaeweza yazuiya. Kenya , Bangladesh na ata kule Tunisia yalikuja bila hodi. Kikubwa Serikali iwajali wale inaowatawala! Bullets will not solve anything under the sun. Kote yalipotokea ,Yametoke baada ya Watawala kutowajali walipa Kodi wao
 
Unavunja sheria za nchi kwa kuogopa mambo ya Kenya....Juzi juzi Samia naye aligusia mambo ya Kenya. Kwa wanaofikiri mama anahujumiwa wanakosea sana. Hii kamata kamata ni maelekezo yake.
 
Je walipoenda Mbeya kabla ya kukamatwa kuna Siasa yoyote mbaya walifanya kule Mbeya mpaka ikafikia kuwekwa ndani kwa hisia za Kizanzibar na Kiccm?
Vyombo vya ulinz labda uwaulize maana atujui kwann imekuwa ivo uwenda kuna namna wameliona wao kwa usalama na angalizo au taadhar kwa kuzbt yasje tokea kama ya kenya
 
Kwa hiyo wewe umeamini uongo wa polisi? Chadema walikuwa wakutane Mbeya kufanya kongamano la kuadhimisha siku ya vijana duniani. Unafikiri watu wanapanga mipango mikubwa kama hiyo hadharani namna hiyo?
Polis wao wana ofu yasje tokea kama nch jiran
 
IGP ajaye
Inanikumbusha traffic mmoja tokea Oyster Bay aliyekuwa anatega mingo karibu na American Chips alinitoa 85000 sababu Coster yangu ilikuwa na side mirrors zenye nyufa miaka kadhaa iliyopita
 
Inanikumbusha traffic mmoja tokea Oyster Bay aliyekuwa anatega mingo karibu na American Chips alinitoa 85000 sababu Coster yangu ilikuwa na side mirrors zenye nyufa miaka kadhaa iliyopita
😂😂😂😂 Alitisha sana
 
Unaambiwa Mbowe alirudishwa hadi nyumbani kwake wakagonga mlango geti lilivyofunguliwa wakamkabidhi kwa familia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…