Pre GE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi yale mabomu ya kurushwa kwa mkono huwa yananunuliwa na serikali pekee au hata watu binafsi wanaweza kuyanunua? Kule Kenya Naona Jimi wanjigi kapewa kesi kwamba anayamiliki 4… mwenye kujua atoe muongozo…Nasikia ni mazuri sana kwa kujihami…
 
..halafu huyo Polisi ni mtu wa Zanzibar lakini anatupangia Watanganyika mahali pa kwenda. Na huko kwao Zanzibar hawataki tukanyage.
Waganga toka tudai uhuru wetu kutoka kwa mkoloni Mzanzibari, ni aibu kutawaliwa na kisiwa cha watu mdebwedo
 
Maswala ya siasa nilisha achana nayo maana mm na hasira sana.Kuna vitu vinatia hasira sana ccm wamefanya kongamano na act ila chadema wao ni hapana sometime ccm muone aibu na kuna siku kwa huu ujinga patafuka moshi watu wamechoka msitafute sababu za kuamsha hasira zao. Nyinyi mijutano yenu mnafanya tu na kuna kauli si nzuri viongozi wenu wanazitoa lakin husikii polis wanakemea ama nec.Ndio maana sitaki hata kupiga kula kwa upuuzi huu.
 
Ila katika sakata hili mbogamboga ni kama wamejitia dole halafu wananusa na kuanza kupiga chafya, eti KM wao anawaambia hao majambazi wanaovaa uniform wawaachie makamanda baada ya kuona kuwa kitendo hichi kimechafua chama na serikali yao kimataifa.
 
Wamezingua sana.Mm nimeachana na siasa kwa sababu hizi hizi maana niliona naweza ondoka na koromeo la mtu uonevu uonevu tu ingekua poa sana wakawaacha wapunguze hasira zao kwenye mkutano wao.
 
..halafu huyo Polisi ni mtu wa Zanzibar lakini anatupangia Watanganyika mahali pa kwenda. Na huko kwao Zanzibar hawataki tukanyage.
Watanganyika sisi wengi wetu ni wajinga,tunaburuzwa na WA Zanzibar million 2,this is shameful
 
Kama iliwahi kutokea baada ya 1961 naomba kuelimishwa

Yaani kwa sasa Chadema haina Viongozi Wakuu ofisini dah

Mungu wa mbinguni amfanyie Wepesi Tundu Lisu ni mgonjwa yule 🐼
 
KILA MTU NI MGONJWA NA MAREHEMU MTARAJIWA. TUSIMWA DRESS MTU KWA STYLE HIYO "NI MGONJWA YULE" ALISHAWAHI FARIKI MZIMA AKABAKI ALIYEKUWA HAWEZI PIGA PUSH UPS.
 
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi

Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
 
Huku ni kujidanganya.

Population ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya, na vijana wa hii nchi ni wengi zaidi ya wale wa Kenya, hivyo wakati ukifika, Polisi hawataweza kudhibiti hilo vuguvugu.

Isitoshe, hakuna Jeshi ambalo huwa linatoa nafasi hiyo, bali huzidiwa nguvu na raia na kuamua kuweka silaha chini kabla ya kuunga mkono raia na kujitenga na watawala.

Wasisahau kikokotoo cha CCM kinawasubiri wakistaafu.
 
Mkuu wa Operesheni afande Awadh amesema Viongozi wakuu wa Chadema wamerudishwa makwao especially DSM under escort ya Polisi

Awadh amesema kamwe hawatakubali yaliyotokea Kenya yatokee Tanzania hivyo Ulinzi mkali umeimarishwa Mikoa yote Ili kudhibiti Nia ovu ya Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
Hili nalo mkalitazame Watanganyika.
 
Back
Top Bottom