Mbeya raha sana wakuu

Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=

Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Hiyo guest inaitwaje hapo Uyole mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…