Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Gay hunting siyo!...Dunia hii.
Kwanini isiwe THIEVES HUNTING?

MAJIZI YANAIBA MABILION na kutesa watanzania kwa dhiki na ufukara wa kutisha, halafu majeshi yanahamishiwa kwenye kusaka vinyeo vya watu? A WRONG FOCUS.

KATAA MAJIZI, USIKATAE VINYEO.

NI UHUNI TU kuonea watu ili kwenda na upepo wa ushoga.

Wameshindwa kuleta maendeleo ya kweli wanajibanza kwenye CHAKA LA USHOGA ili KUJIZOLEA KIKI ZA DEZO DEZO.
 
Basha wake ama mende mpanda kitonga naye kahukumiwa au ndo ameachwa aendelee kufakamia vijana wengine?
 
Uatonekana unawatetea ila na mm nimeshanga kesi kwenda siku moja tu bila kuwahoji walio muungilia ambao wapo hai ,hao walio achwa ndio wabaya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa nao wanatakiwa kuchukuliwa hatua
 
Uatonekana unawatetea ila na mm nimeshanga kesi kwenda siku moja tu bila kuwahoji walio muungilia ambao wapo hai ,hao walio achwa ndio wabaya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyu HAKIMU WA MWENDOKASI ni mjinga na mpumbavu.

Kwanza ni wazi anaonekana yuko BIASED na ANAWACHUKIA MASHOGA ndio maana akawa na MUNKARI wa kuendesha kesi kwa SIKU MOJA kama anaendesha BARAZA LA KATA.

KESI YA JINAI ni uhai wa mtu. Huwezi kuitupa nafsi ya mtu jela miaka thelathini ili tu kujifurahisha hisia zako. NI UONEVU MKUBWA SANA NA UKATILI WA AJABU (Na najiuliza huyu hakimu kama usiku analala kwa amani kabisa akijua amedhulumu nafsi ya mtu).

Sijawahi ona kesi haina ushahidi wala utetezi. Ati mtu anafungwa saa hiyo hiyo. NOO.

WE CAN NOT HAVE SUCH A COURT IN A CONSTITUTIONALLY GOVERNED STATE.

HUYU HAKIMU WA MWENDOKASI AMULIKWE NA AFUNGULIWE MASHTAKA YA PROFESSIONAL INCOMPETENCE.

RUFAA BAADAYE.
 
Watu wengi wanatemwa na rufaa kwa sababu ya hukumu kama hizi.

Huyu akitekenya rufaa kidogo tu, nje kwa sababu ya hukumu za jazba!

Sishobokei tabia zao hizo lakini tunaangalia hukumu imekwenda kihalali kwa kosa husika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…