BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Sawa, lakini KUKIRI lazima muhusika awe anaelewa maana na mantiki ya KUKIRI.Hakimu hutoa hukumu kama umekiri na ukikiri hakuna rufaa.
Kama asingekiri asingehukumiwa bila ushahidi kufikishwa mahakamani
Tena kazaa mtoto wa kiumeAfu Kuna mzazi nae anasema amezaa
Hii ni sheria mbaya haifai. Kwanza ni ya kibaguzi kwa sababu kuu TATU:Sheria zipo kabla hujazaliwa
154-158 imeandikwa vizuri
Kuanzia kuingilia, Kuingiliwa, Kunajisi Wanyama etc
Hayo ni yako, sisi hatuyajui, mwanaume hatakiwi *****Hii ni sheria mbaya haifai. Kwanza ni ya kibaguzi kwa sababu kuu TATU:
1. Sheria hii haizungumzi kuhusu wasagaji, kitu ambacho kinaenda kinyume na madhumuni ya kuundwa kwake.
Ni mashoga pekee ndio wahanga wa sheria hii. Huu ni ubaguzi wa kionevu na ni kinyume na katiba.
2. Sheria hii haishughuliki na HETEROSEXUAL SODOMY. Wale wanaowafira wake zao wako salama na hakuna anayewagasi au kuwabughudhi.
3. Sheria hii inatekelezwa kihuni kwa kumkamata kila mwenye mwonekano wa kike na kuanza kummulika na makmera. Na kwenye EXTREME CASES, hata kumpima kwa kumpiga vidole mkunduni. Huku ni KUTWEZA UTU.
Ndo keshakula kipigo na miaka 30Sawa, lakini KUKIRI lazima muhusika awe anaelewa maana na mantiki ya KUKIRI.
Kama alikiri katika mazingira ya kutotambua, hiyo ni wrong plea of guilty.
Haifai mkuu.Ndo keshakula kipigo na miaka 30
Jirengeshe na wewe utapigwa 30 na kibano juuHaifai mkuu.
Naamini wataanza na wewe, kwa jinsi unavyopenda kufirwa hutoboi.Jirengeshe na wewe utapigwa 30 na kibano juu
Hatari sana! Halafu nahisi mabasha huwa wanaanza kujifunzia hiyo tabia kwa kuwageuza wanawake. Huwezi from no where tu uingize kwa mwanaume nyuma. Kwanza hayo mavi inakuwaje jamani! Mbona kinyaa!Seriously mtu unaingiza uume wako kwa mtu mwenye sura ngumu kama huyu!??[emoji848]mabasha nao wanatakiwa wapimwe akili
Ukikiri kwa hiari yako hakuna rufaaWatu wengi wanatemwa na rufaa kwa sababu ya hukumu kama hizi.
Huyu akitekenya rufaa kidogo tu, nje kwa sababu ya hukumu za jazba!
Sishobokei tabia zao hizo lakini tunaangalia hukumu imekwenda kihalali kwa kosa husika?
Is it a PROPER PLEA OF GUILTY?Ukikiri kwa hiari yako hakuna rufaa
Ndio huyu kwenye picha?Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.
Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.
Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.
Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
BICHWA KOMWEEHuyu HAKIMU WA MWENDOKASI ni mjinga na mpumbavu.
Kwanza ni wazi anaonekana yuko BIASED na ANAWACHUKIA MASHOGA ndio maana akawa na MUNKARI wa kuendesha kesi kwa SIKU MOJA kama anaendesha BARAZA LA KATA.
KESI YA JINAI ni uhai wa mtu. Huwezi kuitupa nafsi ya mtu jela miaka thelathini ili tu kujifurahisha hisia zako. NI UONEVU MKUBWA SANA NA UKATILI WA AJABU (Na najiuliza huyu hakimu kama usiku analala kwa amani kabisa akijua amedhulumu nafsi ya mtu).
Sijawahi ona kesi haina ushahidi wala utetezi. Ati mtu anafungwa saa hiyo hiyo. NOO.
WE CAN NOT HAVE SUCH A COURT IN A CONSTITUTIONALLY GOVERNED STATE.
HUYU HAKIMU WA MWENDOKASI AMULIKWE NA AFUNGULIWE MASHTAKA YA PROFESSIONAL INCOMPETENCE.
RUFAA BAADAYE.
Kwenye kesi za mihemko kama hizi, ni kawaida kukuta mshtakiwa anakiri kosa kutokana na kuzongwa zongwa kila pande na kuzomewa.BICHWA KOMWEE
Kwani Sheria inasemaje kuhusu Lgtbq in Tanzania? How does that Professional Incompetence appear in Lgtbq Laws?