Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

KUKIRI kuna utaratibu wake.

Hawa walimzonga zonga, na si ajabu hata mashtaka yaliandaliwa kihuni.

Ukiiona hati ya mashtaka lazima itakuwa na madosari kibao.
Kwa hiyo unapinga maamuzi ya mahakama.

Cha kumsaidia andaa wanasheria mkakate rufaa.

Ilianza Zanzibar, Mtwara, Mbeya Sasa uelekeo utakuwa Dar....
 
Sheria ipo, sema upewe source?
Pili kavunja sheria ya maumbile
Tatu kavunja sheria ya asili
Ya nne kakili kwa kinywa chake
 
Yule mtu na weusi wake wa Kinyakyusa mwonekano wa kike umetoka wapi?
 
Ndio.

Kwani mqundu si wa kwake? Badala wapambane na umasikini na rushwa wanawekeza nguvu kubwa kuingilia mambo ya faragha ya mtu mmoja mmoja kwanini? Mbona tunasikia watu wanaiba mabilioni na wanaachwa tu ila wanahangaika na mashoga
Mzee Sheria ni Sheria.
Ndio mqundu ni wake ila asivunje Sheria.

Kapewa stahiki yake
 
Hii ni moja ya sheria ya kihuni sana ndio maana hawakuwahi kuitekeleza hapo kabla.

Sasa hivi wanaitekeleza ili kwenda na upepo wa ushoga.

Ni sheria ya msimu inayotumika kulingana na wakati husika.

Ndio maana kile kibabu kidikteta cha Uganda kila kikitaka KUJIZOLEA KIKI KWA PIKIPIKI kinavamia habari za ushoga. NA KWA KWELI ANAJIZOLEA MAKIKI DEBE NA NUSU.

THE FAKE WAR AGAINST HOMOSEXUALITY IS ONLY FOR A POLITICAL AGENDA. IT IS NOT A TRUE WAR.

Ndio maana kile kibabu cha uganda baada ya KUJIZOLEA MAKIKI kimeamua kutokomea shimoni bila kusaini sheria.
 
Tungejenga gereza lao maalumu na kifungo kati ya miaka 90 au 120 without a possibility of parole
 
Mzee Sheria ni Sheria.
Ndio mqundu ni wake ila asivunje Sheria.

Kapewa stahiki yakeView attachment 2578885
Hii ni sheria mbaya na haifai. Ilitungwa wakati wa mkoloni wa kiingereza.

Ni sheria iliyo kinyume na Katiba ya nchi, kinyume na utu wa mtu, kinyume na haki za watu, na kinyume na utashi-huru wa watu.

Huwezi kuwazuia watu wazima wawili waliokubaliana kufanya mapenzi kwa ridhaa yao wenyewe.

Wawe wanafirana, au wanalambana mboro zao, au wanalambana midomo, SIO KAZI YA SERIKALI KUJUA AU KUINGILIA AU KUPELEKA PUA YAKE KWENYE GETO LAO.
 
Aisee nina maswali ila ngoja niishie kujiuliza mwenyewe.

Ila hili moja walimkamata akibanjuliwa au walimkamata akiwa mawindoni? Nawaza ilikuwaje akashtakiwa kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa na mwanaume na je huyo aliyemuingilia yeye yupo wapi sababu lazima aliitajwa na kufahamika.
 
Walimkamata kwa sababu AMEVAA NGUO ZA KIKE wakahitimisha kwamba ni SHOGA.

Waliibuka tu watu wakaanza KUMBURUZA na KUMMULIKA NA MAKAMERA, mara ghafla baada ya nusu saa akafungwa jela MIAKA 30.

Hakuna ushahidi, hakuna utetezi wala hakuna DUE PROCESS OF THE LAW.

Now this is a true BARBARISM. Kama kweli wana akili timamu WATAMUACHIA HURU HUYO KIJANA.

WAACHE UMBAMBAMBA WA KUTAFUTA MAKIKI YA KIHOLELA KWA GHARAMA YA KUUMIZA WATU KWA KUWAONEA.

Kudhulumu nafsi ya mtu kwa miaka thelathini jela ni dhambi kubwa sana, na waliohusika watapata KARMIC PAY BACK endapo hawatatengua uamuzi wao wa kihuni.
 
Sawa.
No Comment[emoji120]
 
Mkuu, hujasoma hapo amekiri kosa?
 
Ni kweli yalianzia huko Pwani kama ulivyokiri na hadi kuyataja hayo maeneo lakini kadri muda na miaka inavyokwenda ndivyo na mikoa mingine inazidi kusambaa hadi vijijini hata ukimwi ulianzia Kagera baadaye ukasambaa mikoa mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…