Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.

Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.

Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Aisee...

Asa kumbe sheria ipo...

Tunafeli wapi sasa!?
 
Ndio.

Kwani mqundu si wa kwake? Badala wapambane na umasikini na rushwa wanawekeza nguvu kubwa kuingilia mambo ya faragha ya mtu mmoja mmoja kwanini? Mbona tunasikia watu wanaiba mabilioni na wanaachwa tu ila wanahangaika na mashoga
Ujinga mtupu, hiyo BANANA COURT inahukumu watu SUMMARILY bila hata ushahidi?

Kesi gani inaendeshwa kwa siku moja bila kuzingatia ushahidi wa kidaktari na kitaalamu?

This is a WRONG PLEA OF GUILTY which needs to be QUASHED.

Huyu hakimu anatembea na upepo ili aonekane anapinga ushoga. Amulikwe.

Sio haki kumfunga mtu kisa tu ametumia mwili wake kufanya mapenzi atakavyo. Kama kuna sheria inayosema hivyo, ni sheria BATILI.

Akate rufaa haraka.
Cheki mlivyo wengi..!!
 
Wamemwonea tuu, huyu hakuwa hata na mwanasheria wa kumtetea au kumuongoza, hakimu hakutenda haki kabisa
Serikali hua haitoi mwanasheria kwa asiye na uwezo wa kuajiri mwanasheria binafsi?
 
Hawa watu ni wagonjwa wa akili kabisa.
Ukimwangalia tu unajua ni Chenga tayari.
Wanahitaji Consealing ya Kimwili na Kiroho.
Dume zima linaishia kujipakapaka mafuta na kuvaa nguo za kike huu ni utaahira kabisa.

Wengi wao wamepagawa na mapepo ya Ushoga.
Eee Mwenyezi Mungu Utuondoĺee hili Janga.[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Watu kama Hawa ilitakiwa waazibiwe kimya kimya mda mwingine, Ili watetezi wao wajitokeze hadharani
 
Ni kweli yalianzia huko Pwani kama ulivyokiri na hadi kuyataja hayo maeneo lakini kadri muda na miaka inavyokwenda ndivyo na mikoa mingine inazidi kusambaa hadi vijijini hata ukimwi ulianzia Kagera baadaye ukasambaa mikoa mingine.
Okaaay! Sawa.
 
Culture Me njoo uone huyu HAKIMU WA MWENDOKASI anahukumu mtu kifungo bila kuchukua ushahidi wowote.

Yaani tu eti mtu anafikishwa mahakamani na kufungwa saa hiyo hiyo bila DUE COURT PROCESS ikiwemo ushahidi wa kidaktari.

Hii si haki kuonea watu kwa minajili ya kwenda na upepo wa ushoga.

Mkuu kisheria, Mtuhumiwa akikiri kosa kifuatacho ni kukutwa hatiani na kosa ( convicted) baada ya hapo atasomewa adhabu ya kosa, ana haki ya kujitetea kupunguziwa adhabu kabla ya hukumu ( Mitigating factors) na mwisho tarehe ya hukumu kusomwa itafuata.

Mahakama imefuata utaratibu, asubiri kukata rufaa tu japo haitakuwa na nguvu kwasababu alikiri kosa mwenyewe.
 
BICHWA KOMWEE

#KATAA UBASHA[emoji350][emoji350][emoji350]
#KATAA USHOGA[emoji350][emoji350][emoji350]
#MWANAMKE KATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE[emoji350][emoji350][emoji350]
#KATAA USHIRIKINA
#KATAA UZINZI
#KATAA USENGENYAJI
#KATAA UMBEA
#KATAA UCHONGANISHI
#KATAA UONGO
#KATAA UNAFKI[emoji350][emoji350][emoji350]

Kwani Sheria inasemaje kuhusu Lgtbq in Tanzania? How does that Professional Incompetence appear in Lgtbq Laws?

Professional negligence lawyers will treat your claim with respect and dedication..going through a professional negligence claim can be stressful..costly and drawn out

In Developed Countries based on incompetence it states that.. Professional negligence pre action protocol is essentially designed to let potential claimants of professional negligence settle their case without the need for court proceedings..The Professional Negligence Pre-Action Protocol came into action in 2001 and ensures that both parties have gathered sufficient evidence and have identified all issues in correspondence with one another.

A lawyer will be able to assist you with gathering your evidence and preparing your claim..but does that thing work in Tanzania?[emoji2368][emoji2368][emoji2368]

Is there any rights of Suspects and Accused in Lgtbq People in Tanzania?

A professional negligence lawyer will assist you with dispute resolution and mediation and will aim to resolve claims before they go to court. However..should your claim go to court, you can be assured that LGBT Lawyers have the training and knowledge to fully support your case.

Having a litigation lawyer on your side during a professional negligence case will help you understand how strong your case is, and how credible the other side’s evidence is..but based on this case the Court based on the only one side

By the way I dont support Lgtbq..May our Almighty protect our Generation in all
Sins[emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe upo huko nchi za watu au umeishi huko. Naomba kuuliza, hivi ni wazungu wote wana sapoti LGTB au? Mana kwa akili za wabongo zilivyo, yaani kwa sasa ukionekana upo na mzungu hata kama mnapiga dili zenu halali, wao wanahisi mnaeneza ushoga.
 
Mwakyembe hebu tuambie kwa nn mkyela mwenzio amekua punga
 
Kwanini isiwe THIEVES HUNTING?

MAJIZI YANAIBA MABILION na kutesa watanzania kwa dhiki na ufukara wa kutisha, halafu majeshi yanahamishiwa kwenye kusaka vinyeo vya watu? A WRONG FOCUS.

KATAA MAJIZI, USIKATAE VINYEO.

NI UHUNI TU kuonea watu ili kwenda na upepo wa ushoga.

Wameshindwa kuleta maendeleo ya kweli wanajibanza kwenye CHAKA LA USHOGA ili KUJIZOLEA KIKI ZA DEZO DEZO.
Endelea kutafunwa tu ..huu upepo wa kufunga machoko safari hii haukuachi ..
 
Mbona nilisikia ni watu wa Pwani tu😂😂😂Mbeya tena
 
Atafungwa sero ya peke yake au atachanganywa na wengine?! Atapewa matibabu yoyote? Atapewa Nasaha ili aachane na vitendo vya kishoga?! Atapewa msaada wa kiroho hiyo roho ya ushoga aachane nayo kabisa arudi kwenye Uanaume wake?
 
Hakimu mpumbavu na mjinga sana.

Hawa ni wale MAHAKIMU WA DIVISHENI FOO wa kipindi cha JAKAYA.

Hatuwezi kuwa na mahakama ya aina hii katika JAMUHURI inayoongozwa na KATIBA. IF THIS IS TRULY A REPUBLIC, LET THE DECISION BE QUASHED AND NULLIFIED.

Mahakama ambayo inafunga watu JELA vifungo vya kikatili bila ushahidi wala utetezi. Mahakama inayoendeshwa kwa MIHEMKO na HISIA BINAFSI ZA HAKIMU ASIYE NA ELIMU YA SHERIA. HAPANA.

Huyu hakimu anaendeshwa na mihemko na upepo wa ushoga.

Haijalishi mtu amefanya dhambi kiasi gani, ni lazima apewe fursa inayokubalika kisheria ili ajitetee na kutoa maelezo yake.
We papai nyinyi hamna haki hata moja dunian kwanza mko upande gani ke au me ..nyinyi inayowafa ni hukumu ya kifo bila kusikilizwa..tukikuhisi tu we ni papai ushapoteza haki zote.
 
Back
Top Bottom