Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaenda kutafuta kura kanisani.Zamani alikuwa hasali kabisa huyo.Dini kaijua baada ya uteuziMapema leo asubuhi Jijini mbeya Tundu Lisu amehudhuria ibada kabla ya kuanza safari kuelekea Mtwara.
View attachment 1560428
Hivi maccm kwanini hayakutumia sumu kama yalivyofanya kwa Mangula kumdhibiti Lissu ?
Huyo aliyesema risasi 3 nae ni mpumbavu tu..kwani Mangula amekufa?
..umeambiwa huwa wanapiga risasi 3, sasa TL alipangiwa risasi 38.
Paroko wa hapo ni nani?Mapema leo asubuhi Jijini mbeya Tundu Lisu amehudhuria ibada kabla ya kuanza safari kuelekea Mtwara.
View attachment 1560428
Huyo aliyesema risasi 3 nae ni mpumbavu tu
Kila pigo litajibiwa kwa pigo..kweli ni mpumbavu, lakini alichokisema kisipuuzwe.
..ametoa siri ambayo wengi tulikuwa hatuijui.
..kama taratibu zao ni kutumia risasi 3, kwanini wampige risasi 38?
Paroko wa hapo ni nani?
Kwani ameingiza siasa kanisani zaidi ya kumshuru Mungu.Kumbe nae anatumia ibada mbona walalamikaji wachache
Mungu ni mkubwa kuliko hila za ccm na magufuliHivi maccm kwanini hayakutumia sumu kama yalivyofanya kwa Mangula kumdhibiti Lissu ?