Uchaguzi 2020 Mbeya: Tundu Lissu amshukuru Mungu kwa matendo makuu

Uchaguzi 2020 Mbeya: Tundu Lissu amshukuru Mungu kwa matendo makuu

Amelaaniwa yule Amtegemeaye Mwanadamu
Lissu Wewe Endelea Kumtegemea Mungu
Machozi ya wengi.... Mungu Wetu Atakulinda na Kukutunza
 
Nimemfananisha na mwanamke mpumbavu ambaye wanamsema kwamba huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Kumbe wale wasiojulikana walipokuwa wakimfatilia pale st.peter alikuwa anaenda kushangaa madhabau au?
Lisu Yeye ndie alikuwa akiwafuatilia wao

Kanisani ni kwa kila mtu ulisikia kanisani wanasali wanaojulikana tu? Kuwa wasiojukikana hawaruhusiwi kukanyaga kanisani kusali?

Lisu yeye Mungu wa kusema nani asali kanisani na yupi asisali? Alienda kusali au kufuatilia watu wasiojulikana?
 
Hivi maccm kwanini hayakutumia sumu kama yalivyofanya kwa Mangula kumdhibiti Lissu ?
Mungu ni zaidi ya Sumu kijana Mungu akipenda hata ukipaliwa tu ni kwaheri. kwahio tulia kijana na umuombe Mungu
 
06 September 2020
Mbeya, Tanzania

Baba Paroko Mwakasita akiwa na waumini Kanisani

 
Lisu alishakufa tayari. Huo ni mzimu unaoishi. Siku ile NEC walijiuliza hadi saa 12 tumkate tumuache! Sasa wanajuta.

Kura kwa Lisu. Urais kwa Magufuli. Hii ndio Tanzania.
Hata 2015 kura alipewa Lowasa urais akapewa Magufuli.

Goli la mkono ndio kilichobakia!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
This time around hatumuachii Mungu
 
Back
Top Bottom