Uchaguzi 2020 Mbeya: Tundu Lissu amshukuru Mungu kwa matendo makuu

Uchaguzi 2020 Mbeya: Tundu Lissu amshukuru Mungu kwa matendo makuu

kaenda kutafuta kura kanisani.Zamani alikuwa hasali kabisa huyo.Dini kaijua baada ya uteuzi
si bora huyu, je yule anayezuga ni mtu wa Mungu huku matendo yake ni ukatili mtupu dhidi ya wanaomkosoa?!.
 
Hivi maccm kwanini hayakutumia sumu kama yalivyofanya kwa Mangula kumdhibiti Lissu ?
Lisu alishakufa tayari. Huo ni mzimu unaoishi. Siku ile NEC walijiuliza hadi saa 12 tumkate tumuache! Sasa wanajuta.

Kura kwa Lisu. Urais kwa Magufuli. Hii ndio Tanzania.
Hata 2015 kura alipewa Lowasa urais akapewa Magufuli.

Goli la mkono ndio kilichobakia!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
MaCCM mlitaka kumuua Lissu lakini Mungu anamlinda. Mashetani wakubwa nyie maCCM. You will die while sticking your index fingers in your asses. Mungu anawaona nyie maCCM, waabudu sanamu wakubwa....miknd yenu.
 
Back
Top Bottom