KAYAFA MKUU
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 242
- 297
Safi sana. Ila nawaonea huruma viongozi wa hilo kanisa kwa maana wanaweza kujikuta wanabambikiwa kesi za uhujumu uchumi kisa tu muumini wao mgombea uraisi amesali kwao.
Epushia mbali Jambo hili ee Mungu, bwana yule (Yesu wa KL) hatafurahishwa na Jambo hili.
Epushia mbali Jambo hili ee Mungu, bwana yule (Yesu wa KL) hatafurahishwa na Jambo hili.