KAYAFA MKUU
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 242
- 297
Safari ijayo sumu atalishwa nani ?Ilesumu ilikua katengwa member lkn mangula kwa ulafiwake kaaivamia yeye
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Aiseee!Aliwatoa wana wa Israel utumwani Misri ndiyo atakavyowatoa Watanzania utumwani CCM
Simama dede kuongeza idadi ya walalamikaji.Kumbe nae anatumia ibada mbona walalamikaji wachache
Mnataka kumfanya nini?Paroko wa hapo ni nani?
Simama dede kuongeza idadi ya walalamikaji.
Hii kaliHivi maccm kwanini hayakutumia sumu kama yalivyofanya kwa Mangula kumdhibiti Lissu ?
Powah tu...kaenda kutafuta kura kanisani.Zamani alikuwa hasali kabisa huyo.Dini kaijua baada ya uteuzi
Lipo wazi,makarai Akatafute kazi ya kufanyaMungu ni Mwema BUSEGA , Shinyanga mjini na MAGU mikononi mwa CHADEMA asubuhi
Mungu angemnusuru piaHivi maccm kwanini hayakutumia sumu kama yalivyofanya kwa Mangula kumdhibiti Lissu ?
Mmiliki kaunga juhudi kuhofia part 2 ya mkono wa baunsaMungu amtangulie huyu kiongozi wa Taifa mtarajiwa
10 Sep 2017
Waamini katika Kanisa la Gwajima watunga wimbo wa kumuombea uzima Tundu Lissu
KANISA LA GWAJIMA WATUNGA WIMBO WA TUNDU LISSU
Tafuta bwana ASAPKumbe mnaangalia mkuu?Hivi Lissu huwa anawatambulisha wagombea ubunge na udiwani?
Wazo la bure CDM ichapishe sare nyingi zaidi itakua poa
Miongonj mwa Dada zangu hapa JF niliokuwa nawa heshimu sana moja wapo ni wewe lkn kwa hili nimekuona wa tofauti kabisaKumbe mnaangalia mkuu?Hivi Lissu huwa anawatambulisha wagombea ubunge na udiwani?
Wazo la bure CDM ichapishe sare nyingi zaidi itakua poa
Aliropoka Mungu amsamehee..kweli ni mpumbavu, lakini alichokisema kisipuuzwe.
..ametoa siri ambayo wengi tulikuwa hatuijui.
..kama taratibu zao ni kutumia risasi 3, kwanini wampige risasi 38?
Miongonj mwa Dada zangu hapa JF niliokuwa nawa heshimu sana moja wapo ni wewe lkn kwa hili nimekuona wa tofauti kabisa
Sawa nashukuruSafi kabisa. Natamani wengine wajitokeze wafunguke hivi maana kuishi KINAFIKI tabu sana. Nilipojiunga JF nilikua all alone sikushikwa mkono na mtu wala kusaidiwa bando so mkuu its good heshima yako ipeleke panapostahili.
Waliotumwa kumuuwa wengine wametangulia kabla yake huu Ni ukuu wa MunguMaCCM mlitaka kumuua Lissu lakini Mungu anamlinda. Mashetani wakubwa nyie maCCM. You will die while sticking your index fingers in your asses. Mungu anawaona nyie maCCM, waabudu sanamu wakubwa....miknd yenu.
Kumbe wale wasiojulikana walipokuwa wakimfatilia pale st.peter alikuwa anaenda kushangaa madhabau au?kaenda kutafuta kura kanisani.Zamani alikuwa hasali kabisa huyo.Dini kaijua baada ya uteuzi