Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Unapoingiza Uzanzibari ndio unapokosea bwashee!Naamini haki itatendeka, kwa sababu naamini jaji wa hiyo kesi sio mzanzibari, na sheria zilizovunjwa ziko wazi kila mwenye macho anazifahamu, mkataba wa kihuni uliokuja kuvunja sheria za Tanganyika, badala ya kufuata sheria za Tanganyika.
Kama mbwai na iwe mbwai, wamelileta wenyewe na sisi tumegundua na tunalisema.Unapoingiza Uzanzibari ndio unapokosea bwashee!
Endelea kuota mkuu, ukija kustuka bandarini kuna watu wenye weledi na sio weziNaamini haki itatendeka, kwa sababu naamini jaji wa hiyo kesi sio mzanzibari, na sheria zilizovunjwa ziko wazi kila mwenye macho anazifahamu, mkataba wa kihuni uliokuja kuvunja sheria za Tanganyika, badala ya kufuata sheria za Tanganyika.
Anaweza asiwe Mzanzibar akawa mtu wa Pwani au TangaNaamini haki itatendeka, kwa sababu naamini jaji wa hiyo kesi sio mzanzibari, na sheria zilizovunjwa ziko wazi kila mwenye macho anazifahamu, mkataba wa kihuni uliokuja kuvunja sheria za Tanganyika, badala ya kufuata sheria za Tanganyika.
Tutashitukia baglashia na hizblaa zimejaa bandari I ndio furaha yako wala hakuna Cha weledi hapo.Mama amewapa Bure bureEndelea kuota mkuu, ukija kustuka bandarini kuna watu wenye weledi na sio wezi
Wanyak hatutaki mkesyoo oh, ni wabishi na masikini jeuri, baba zetu waliwahi mwambia Nyerere kama hamtutaki kusikiliza tutahamia Malawi.Wananchi wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari iliyofunguliwa na wanasheria Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip Mwakilima, wakisema mkataba huo hauna maslahi kwa Taifa na haujashirikisha maoni ya Watanzania ili kuuridhia kati yake na kampuni ya DP World ya Dubai.
Jambo TV