Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

Hivi shida nini kama Waziri Mkuu juzi kasema mazishi yamefuatiliwa na watu BILIONI 3.9, kaliliwa na every internet user, hawa wa4 ni sawa na kusema wamemwaga pakiti ya chumvi kwenye ziwa Victoria na maji hayaweziharibika na kuwa na ladha chumvi, au mie natumia nguvu SANA kufikiria??

Wasimuharibie mama Samiah, kuna kama ka element kakum sabotage. Kishasema yeye ni Raisi wa JMT mwenye maumbile ya mwanamke, jamani waangalie wasijeingia cha kike, wakitafuta kiki! Kwa maamuzi ambayo hayana stand za kisheria.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nchi ngumu sana hii....[emoji706][emoji706][emoji706]
..kwaiyo kwasasa ni kosa kukutana mkapata nyama choma na bia?...kwani huzuni ya msiba inapimwa kwa watu kukaa namna gani jamani?....kwetu huwa ukitokea msiba lazima tuchinje mbuzi na pombe iwepo kumbe ni kosa,😥
 
Duuuuu Jamaa mmoja hapo katika hao ninamfahamu Asifiwe Mwasaga ni dereva wa magari ya mizigo yanayopaki Mwanjelwa karibu na sheli ya Chipukizi.
...mtafutie wakili fasta iyo kesi nyepesi...hakuna Shelia inayosema msiba ukitokea lazima utembee unalia wala unacheka...hakuna Shelia inayokataza Kula supu na kunywa pombe wakati
 
kama ambavyo magufuli hajaweza kuwanyima wapenda demokrasia Uhuru ndivyo hivyo hataweza kuzuia watu kusherekea kifo chake
 
Hao ni wale wachache walioshindwa kuzuia furaha yao hadharani.

Wengi tunaenda kumuaga.. Na kuhakikisha mpaka anazikwa na kutoweka kabisa.
 
Safi sana kamanda kitendo hicho kingeweza kuvuruga amani na kusababisha vurugu.

Kushangilia kifo chamtu wakati kunawengine wenye majonzi, nikitendo cha hatari.
Panaweza kuleta na mgawanyiko na ugovi mkubwa sana ambao unaweza kusababisha mauwaji kwasababu ya majuha wa4.

Hongera kwa kazi nzuri wengine wajifunze.
 
Waache wenye kufurahi wafurahie na wakusikitika waaikitike. Yesu aliwaambia akinamama walikuwa walimlilia kuwa wajililie wenyewe. Marehemu amekufa kwa uzembe wake kwa kudharau covid 19. Kula na kunywa msibani mbona ni kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…