Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Tupo zaid milion 50 wanaonekana road hawazid ata million moja wengine wako wap sijui😂Unaweza ukaona kama utani ila kuna jamaa aliniambia maeneo ya kwao walikunywa pombe hiyo tar 18 balaa,kuna jamaa akanipigia simu anashangilia ila kwa ile tone inaonekana alikuwa bwiiii.
Propaganda za MATAGA tu,ukitaka kujua ni wanafiki ngoja siku 21 ziishe utaona tu maana itabidi waanze kumpigia pambio Mh Rais Samia na kumsahau MEKO.Tupo zaid milion 50 wanaonekana road hawazid ata million moja wengine wako wap sijui😂
Hii Serikali mbona inafanya mambo ya aibu?
Toka lini msiba ukawa ni wa lazima kwa kila mtu kusikitika au kuhuzunika??
Rais SSH usipokemea huu wendawazimu wa Serikali yako, mwisho wa siku na wewe utaonekana ni mmoja wao. This madness has to be condemned strongly!
Lakini tayari ameshakula kiapo cha kuwa Rais. Sasa hivi Serikali yote iko chini ya mamlaka yake, iwe aliwateua au hakuwateua, they report to her.Hapa kidogo tunakosea kumhusisha SSH na mambo yanayoendelea sasa hivi. Hii bado ni serikali ya JPM. SSH bado hajaunda serikali yake.
Na kwanini wawakamate kimya kimya, wacha waanike akili zao ulimwengu ushangae yanayofanywa na waliopewa dhamana ya kulinda raia na mali zao.Kitendo cha kutaja tu hapo Mbele ya makamela kwamba, wamewashika watu wakijipongeza Kwa kifo cha kipenzi cha Watanzania wengi, ni kuongezea udhalilishaji pia,
Kwa nini wasingewakamata kimyakimya??
Madereva wa Magari ya mizigo waliathiriwa sana na utawala Huu baada ya Wadau wengi kuhamishia mitaji yao nchini Msumbiji Bandari ya BeiraDuuuuu Jamaa mmoja hapo katika hao ninamfahamu Asifiwe Mwasaga ni dereva wa magari ya mizigo yanayopaki Mwanjelwa karibu na sheli ya Chipukizi.
Na Ukabila wa kutoshaHaisaidii kubadili ukweli kuwa Magu ameacha chuki kubwa sana katika Jamii yetu.
Wakiongozwa na WasiraYeah....watu wamefurahi kwa kweli! Tena wala hawasiti au kuogopa kusema.
Nilichogundua watu wengi (hata viongozi hao wakubwa kabisa) walikuwa wanaugulia ndani kwa ndani muda wote ule.