Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani.

"Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema.
 
Nadhani mbeya ni Kati ya miji yenye nyumba nyingi za tope. Ila uwekwe utaratibu mzuri kwa wamiliki wasifukuzwe

Maendeleo hayana vyama
Nadhani tunaposema nyumba za tope , inabidi tufafanuliwe. Wazawa Wa Dar Wana nyumba nyingi tu za tope+mianzi maeneo ya Remake huko. Hata maeneo ya kariakoo kuelekea twiga, jangwani, mchikichini n. K Kuna nyumba Zina block halijachapiwa na kiuhalisia hazina hadhi ya kuwa kwenye jiji
 
Back
Top Bottom