Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kariakoo nyumba lukuki ni za tope , wenyewe watahamishwa lini ?Aibu kubwa. Kama mtu unashindwa kuendana na kasi ya ukuaji wa mji uza kiwanja nenda nje ya mji
Kariakoo ipi hiyo mkuu!!!!Kariakoo nyumba lukuki ni za tope , wenyewe watahamishwa lini ?
Moto gani wewe, waaache upuuzi.Moto utawaka kwa Mbeya , huyu ofisa haijui Mbeya
Kariakoo hamna nyumba ya tope, Kwa Mbeya kweli ni aibuuukariakoo ipi hiyo mkuu!!!!
Nadhani Mbeya ni Kati ya miji yenye nyumba nyingi za tope. Ila uwekwe utaratibu mzuri kwa wamiliki wasifukuzweHizo nyumba ziko mbeya maeneo gani
Blok t,forest,blok q,uhindini,ghana au
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mtu wa Geita utaelewa Kariakoo kweli ?kariakoo ipi hiyo mkuu!!!!
Nadhani tunaposema nyumba za tope , inabidi tufafanuliwe. Wazawa Wa Dar Wana nyumba nyingi tu za tope+mianzi maeneo ya Remake huko. Hata maeneo ya kariakoo kuelekea twiga, jangwani, mchikichini n. K Kuna nyumba Zina block halijachapiwa na kiuhalisia hazina hadhi ya kuwa kwenye jijiNadhani mbeya ni Kati ya miji yenye nyumba nyingi za tope. Ila uwekwe utaratibu mzuri kwa wamiliki wasifukuzwe
Maendeleo hayana vyama
Acha utani wewe labda Kama hujaizunguka kariakoo. Kariakoo Kuna nyumba kadhaa za tope pamoja na barabara za mchanga/matope.Kariakoo hamna nyumba ya tope, Kwa Mbeya kweli ni aibuuu
MATAGA wakikujibu nishitue.Kariakoo nyumba lukuki ni za tope , wenyewe watahamishwa lini ?