Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Kawe ilikuwa chini ya upinzani wakati wa miradi ya barabara...
Pili, mradi wa ujenzi wa barabara ulilenga baadhi ya maeneo tu na mengi ni yale yenye watu wa kipato cha chini...
Usijifanye mtetezi wa kila kitu na huwezi kujua vitu vyote.Alijenga yeye lami Samia?
Au hujui zimejengwa wakati gani?
Kawaletea lami ...furahieni basiUsijifanye mtetezi wa kila kitu na huwezi kujua vitu vyote.
Samia ni jirani yangu, pembeni kabisa kwa dada yake Gwajima (huyu ni maarufu aliiuwa katibu wa wizara)
Naelewa fika kuwa lami ililetwa kwa msukumo wa Samia alipokuwa Makamu na sasa akiwa rais.
Hasa hizi za mtaani kwake...sio dhambi kwa huduma kama hizo kuletwa karibu na makazi ya rais
Sawa boss chawaKawaletea lami ...furahieni basi
Uneongea vizuri mkuu,nilienda Mbezi beach kule kwa Zenna kuna makorongo kabsaa...ila majumba ni ya kifahari kuuliza nikaambiwa wanaoishi huko wala hawana shida na lami...hali ikizidi wao wananunua tu magari yenye uwezo wakupita kwenye njia zenye shuruba kama hizo.Mbezi beach sio Wapiga kura kule ndio watafuna kodi
kule Makolongo yakizidi unabadilisha aina ya gari badala ya kwenda kwa Diwani kulalamika
Ndo ukweli wenyewee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbezi beach sio Wapiga kura kule ndio watafuna kodi
kule Makolongo yakizidi unabadilisha aina ya gari badala ya kwenda kwa Diwani kulalamika
Ninaamini una akili timamu lakini umeamua kujifanya chizi.Nyinyi mnaoletewa lami Hadi mlangoni ndo mnakuwaga wa kwanza kusema Rais hajafanya kitu
Na wanafanya hivyo makusudi kuwahadaa wananchi, ili wao waendelee kutafuna kodi vizuriii.Uneongea vizuri mkuu,nilienda Mbezi beach kule kwa Zenna kuna makorongo kabsaa...ila majumba ni ya kifahari kuuliza nikaambiwa wanaoishi huko wala hawana shida na lami...hali ikizidi wao wananunua tu magari yenye uwezo wakupita kwenye njia zenye shuruba kama hizo.
Nampenda sana Rais wetu wa sasa Mama Samia, ni muungwana sana , ana upendo na kuthamini watu. Lakini namkumbuka sana JPM kwasababu kipindi chake alitengeneza nidhamu kubwa sana kwa watendaji serikalini, watendaji wengi walikuwa wanaumiza vichwa sababu ya kumuogopa Magufuli.Hayo maeneo watu walisahaulika sana kwa huduma nyingi. JPM akawapelekea maji, barabara zenye taa na zahanati.
Na huko ndio linatoka kundi kubwa la wapiga kura. Kisha mtu anakuambia JPM aliiba kura.
Unataka kuwa jirani na mkuu?😂😂Kuna viwanja vya barabarani Ubungo vinapatikana?..bei ina range vipi?
Wamebana barabara na mifensi yao na migeti ya kifahari..Kuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami..ukienda Yombo kuna lami mitaani Tu .huko Buza Hadi vibarazani kuna lami...Ukifika mbezi beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda Mbweni JKT angalau kuna lami za mtaani kiasi lakini mbezi beach vumbi vumbi.....yaani Manzese Hadi mto umepigwa zege.....
Kuna mtu anajua why???
Mimi sina chama mdogo wangu.Samia hatakuja kukaa hapo...Marais Wana Jenga sehemu nyingi...
Hata kununua Masaki sehemu nzuri zaidi..
Jibu swali Acha kuwaza kichadema
Haiwezekani... Wana pesa..Wavunjiwe wote walioingia barabarani
Mbweni hujui ni kwa Samia? Kuna sehemu wanaita Ubungo...mbweni lami kila mahali.
Kwa rais patakosaje lami?
Viwanja vya Mbezi Beach B sio squatter kama Manzese. Vilipimwa na barabara ni panaWamebana barabara na mifensi yao na migeti ya kifahari..
Acha wajifunze.
Mbezi beach B imepangiliwa, hakuna viwanja ambavyo havijapimwa hii inaanzia Afrikana yote hadi Jangwani, MakondeLami haiwezi kufika mitaa yote huko mbezi beach kutokana na ujenzi huko
Ulivyofanyika
Ova