Kwani Mradi wa DMDP ya Mwaka huu 2023/2024 Itajenga barabari zipi?
Mbona tayari pesa zimetoka nadhani wanatafuta mkandarasi sasaMagufuli alipanga Kuweka Lami mbezi yote na kuweka mfumo wa Maji Taka...Eneo lilikua kijengwe pale Kilomgawima la kupokea maji taka..Posta pia ilikua ifumuliwe yote...Sasa sujui nn kunaendelea...
Unaongelea mbezi beach ipi?Mbezi beach hawana mfumo wa maji taka ,watu huko hufaulisha maji taka
Kwenye mifereji nje
Ukipita usiku mitaani ukisikia sauti ya pump ujue kuna shuuguli hapo
Ova
Ubungo nayo si ilikuwa chini ya upinzani,hacha ujinga kwani upinzani unahusiana nini wao ndo wanajenga barabara?
DMDP ile imeanza kabla Magu hajawa RaisMitaa yangu ya nyuma ya mango garden na kinondoni bwawani mkeka
Ulipita,mandhari ikabadilika gafla
Serikali ya jiwe hapo walifanya jambo
La maana
Ila hawa wa sasa mmhh miradi yao ukiona inaenda kidilidili tu
Ova
anakaa pale ubungo, maana naonyeshwaga tu kwa samia ni kuleeMbweni hujui ni kwa Samia? Kuna sehemu wanaita Ubungo...mbweni lami kila mahali.
Kwa rais patakosaje lami?
Dodoma baadhi ya maeneo mfumo wa maji taka upo.Unaongelea mbezi beach ipi?
Tanzania ukiondoa Kariakoo na Posta hakuna sehemu kuna mfumo wa maji taka.
Na kwa Mbezi Beach huo mfumo unajengwa kuanzia mwakani
Mbezi hata wajengevMtaro kama river nile wataendelea kupigwa na mafuriko kila wakati Wengi wamejenga Mtoni na mabondeniUnaongelea mbezi beach ipi?
Tanzania ukiondoa Kariakoo na Posta hakuna sehemu kuna mfumo wa maji taka.
Na kwa Mbezi Beach huo mfumo unajengwa kuanzia mwakani
Unaongelea Mbezi Beach ipi?Mbezi hata wajengevMtaro kama river nile wataendelea kupigwa na mafuriko kila wakati Wengi wamejenga Mtoni na mabondeni
Kuna watu hawaijui Mbezi beach kabisa.Unaongelea Mbezi Beach ipi?
Mafuriko gani yanatokwa Mbezi Beach?
Punguza povu...kwaio na Maji ya Dawsco nayo mi mradi wa DMDP?...kuna mitaa ilifanywa na DMDP na kuna mitaaa ilifanywa na Tarura...acha kumix hisia zako na uhalisia.Huwa mnapenda kudandia vitu msivyovijuwa na kumpachika mtu sofa asizostahili.
Mradi wa DMDP ni kazi ya Malaya Kikwete pamoja na daraja la Mfugale, ila utekelezaji umeangukia awamu ya tano.
Huu ujinga ndio mtasababisha watu wang'ang'anie Madaraka kwa kisingizio cha kumaliza kazi walizozianza, huu ujinga Magufuli na machawa wake walishauanza.
Mimi ni mjumbe wa project ya DMDP mtaani kwangu tulichaguliwa Kikwete akiwa Rais, hunidanganyi lolote kuhusu mradivwa DMDP.
Tena world bank wasingesimamia wenyewe hii miradi yao ungesikia imehamishiwa Chato.
Tueleze Tarura ulifanya wapi? Unajuwa maana ya DMDP?Punguza povu...kwaio na Maji ya Dawsco nayo mi mradi wa DMDP?...kuna mitaa ilifanywa na DMDP na kuna mitaaa ilifanywa na Tarura...acha kumix hisia zako na uhalisia.
Maana mbezi beach yote kutoka Main Road hadi baharini haifiki 800mKuna watu hawaijui Mbezi beach kabisa.
Huyu anaongelea ka kipande tu
Hajui kuwa DMDP wanafanya kazi chini ya TaruraTueleze Tarura ulifanya wapi? Unajuwa maana ya DMDP?
Kichwa kimebeba Matope.Maono gani wakati ni pesa za mkopo wa WB via mradi wa DMDP 1? Kuanzia mwakani mwezi June DMDP 2 inaanza Sasa sijui kama itafika huko.kwa mtoa mada maana Kuna zaidi ya Bil.800Imesaidia kuyapa hadhi kidogo baadhi ya maeneo
Lakini usitafute logic sana katika hilo yalikuwa ni maono ya mtawala
Leo ujenzi aina hiyo hautaendelea lakini hayo mafungu hayataonekana pia kwamba yameelekezwa wapi kwa hiyo haikuwa mbaya
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuna barabara zipo chini ya Tarura na kuna barabara zipo chini ya DMDP...nenda Ukonga Mombasa barabara ya kwenda Moshi bar uangalie kibao ya ujenzi kinasemaje...Hajui kuwa DMDP wanafanya kazi chini ya Tarura
DMDP yeye anashughulika na ujenzi tu ila maintenance hufanywa na Tarura.Kuna barabara zipo chini ya Tarura na kuna barabara zipo chini ya DMDP...nenda Ukonga Mombasa barabara ya kwenda Moshi bar uangalie kibao ya ujenzi kinasemaje...
Huu ujuaji muache, sio barabara zote za mitaa zimejengwa na DMDP.