Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Mimi siwezi kukupinga nipo katika Maisha yangu ambayo haiwezi kupita siku tatu bila kuona mbingu na huu ni mwaka wa tatu katika uwokovu Nina kipawa cha kuona huwa ni naona vingi sana nitaanza kuandika mada humu kuhusu uwepo wa Mungu na maisha ya imani kwanza niseme kitu kimoja ni makosa makubwa watu wengi kupinga au kupuuza mawazo ya watu sababu mambo ya mengi ya Mungu yapo katika Ulimwengu wa Roho Swali linakuja hao wanaopinga wanajua kuhusu Ulimwengu wa Roho maana Mungu wetu ni roho. “Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”

‭‭Yn‬ ‭4‬:‭24‬ ‭SUV‬ sasa ukiniuliza mimi mambo ya Mungu kabla ya kutokuwa na uwezo wa access Ulimwengu wa Roho nilikuwa sijui chochote. Hivyo kwa sisi ambao Tumepata Neema ya Roho mtakatifu ndo anatufundisha na kutufunilia mambo mengi sana yamo humo acha tu.

Hivyo Absolutely nakubaliana na shuhuda hii mimi binafsi nimeona mbingu ikifunguka, nimepewa nyota , nimeona wingu likitengeneza sura ya kristu chochote cha zamani napewa habari yake au yale yanayokuja kadiri ya mapenzi ya Mungu mfano tu watu wengi wanadhani mwenge ni ni tunu ya Taifa [emoji2379] ila uhalisia ni agano moja hatari haya yote yapo huko katika Ulimwengu wa Roho na huwezi kurikodi uthibitishe humu. So tusipinge kile kitu kuna mengi yamejificha sana katika uso wa dunia..
 
Bora hata waslamu hawanaga hiz stori za kufika kwny mbingu yao, imagine ambavo angehadithia kwa watu kuhusu mabikra 72 aloonyeshwa huko,waslamu wametulia zao na bwana Mo wao hawana mambo mengi
Hahaaaaaa, sitaki kwenda huko uoande wa pili maana uzi utajaa mashindano ya kidini maana quran inasema mahali pepo yao ilipo.
 
Mimi siwezi kukupinga nipo katika Maisha yangu ambayo haiwezi kupita siku tatu bila kuona mbingu na huu ni mwaka wa tatu katika uwokovu Nina kipawa cha kuona huwa ni naona vingi sana nitaanza kuandika mada humu kuhusu uwepo wa
Upo sahihi na ndilo hili nililoshuhudia kuhusu kutoka katika mwili na kuuona utukufu wa Mungu. Kama mkristo, umeokoka na kuamini hasa. Ukimuomba Mungu akufunulie Mambo ya kiroho atakufunulia. Ubarikiwe mjoli wa Bwana.
 
Bro jaribu kuficha uchi wa akili yako. Humu JF ni wengi tunakuheshimu na pia sio kila thread unatakiwa uchangie. Nyingine zinakuzidi upeo wako, fanya kama hujaziona. Unajidharirisha bro, samahani kwa hilo ndugu yangu. Nenda MMU kule kuna mada za DeepPondnahadithia kuhusu mchepuko wake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ni level ya juu sana huwezi elewa, kuna utaratibu kwa kila. Jambo, uwepo wa mbingu, haihalalishi Mwakasege kuenda, utaratibu wa maandiko ndo jambo la msingi.

Dubai ipo, ila kwenda ni uataribu.... Wewe ni fala kabisa
 
Upo sahihi na ndilo hili nililoshuhudia kuhusu kutoka katika mwili na kuuona utukufu wa Mungu. Kama mkristo, umeokoka na kuamini hasa. Ukimuomba Mungu akufunulie Mambo ya kiroho atakufunulia. Ubarikiwe mjoli wa Bwana.

Amen . Barikiwa pia. Simama Kwenye imani kuna utukufu wa ajabu
 
Umeeleza vizuri,Suala la kwenda Mbinguni kwa mkristo wala sio la kushangaa,tatizo kuna watu wakisika mtu kaenda mbinguni wanaanza kuwaza kama wao kwamba mtu kavaa mkanda nje na viatu na begi lake anasubiri basi la kumpaisha ndio maana anaona ni kitu kisichowezekana.

Kupelekwa mbinguni,inatoka roho yako ambayo ndio imevalishwa huu mwili,unaacha mwili wako kitandani unauona,au vinginevyo unapewa maono ya namna mbingu ilivyo.
Kwahiyo tunakubaliana mbinguni ni huko juu au sio?!!

Naomba ureply hapa chapuu ni jambo na ww
 
Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni.



Asanteni.

Kumbe mbingu ipo huko Juu ? Mi nilijua tupo nayo tu karibu karibu ni kupisha tu kidogo afu unaingia hapo endapo utakuwa unastahili, Mungu atusaidie sana
 
Kwahiyo tunakubaliana mbinguni ni huko juu au sio?!!

Naomba ureply hapa chapuu ni jambo na ww
Nasubir useme Ndio mkuu?!!

Na kwakua umesoma na mpk ukaajiliwa means huwez kuikana elimu yako ambayo ndo nitahitan kuitumia ukisema ndio mbinguni ni juu
 
Kwahiyo tunakubaliana mbinguni ni huko juu au sio?!!

Naomba ureply hapa chapuu ni jambo na ww
Hatuwezi kukubaliana kwa sababu sijawahi kufika huko,kwahio sijui kama ipo juu,muulize mleta mada ndiye aliyeenda,na kwa maelezo yake alielekea juu.
 
Back
Top Bottom