Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
- Thread starter
-
- #61
Nifahamuvyo bro, maserafi na makerubi ni viumbe vya kiroho kama malaika nawao ni rank ya juu ya malaika. Binafsi, yule aliyenichukua ni Malaika mkuu.Haya uliwaona makerubi na maserafi..??
Hahaaaaaa, sitaki kwenda huko uoande wa pili maana uzi utajaa mashindano ya kidini maana quran inasema mahali pepo yao ilipo.Bora hata waslamu hawanaga hiz stori za kufika kwny mbingu yao, imagine ambavo angehadithia kwa watu kuhusu mabikra 72 aloonyeshwa huko,waslamu wametulia zao na bwana Mo wao hawana mambo mengi
Upo sahihi na ndilo hili nililoshuhudia kuhusu kutoka katika mwili na kuuona utukufu wa Mungu. Kama mkristo, umeokoka na kuamini hasa. Ukimuomba Mungu akufunulie Mambo ya kiroho atakufunulia. Ubarikiwe mjoli wa Bwana.Mimi siwezi kukupinga nipo katika Maisha yangu ambayo haiwezi kupita siku tatu bila kuona mbingu na huu ni mwaka wa tatu katika uwokovu Nina kipawa cha kuona huwa ni naona vingi sana nitaanza kuandika mada humu kuhusu uwepo wa
Hahaaaaa, kama ulivyokuwa unaamini Chelsea watachukua ubingwa wa UEFA 😩😀😄😆😅😂Iman ni kitu kikubwa sana. Sikupingi
Haya uliwaona makerubi na maserafi..??
Bro jaribu kuficha uchi wa akili yako. Humu JF ni wengi tunakuheshimu na pia sio kila thread unatakiwa uchangie. Nyingine zinakuzidi upeo wako, fanya kama hujaziona. Unajidharirisha bro, samahani kwa hilo ndugu yangu. Nenda MMU kule kuna mada za DeepPondnahadithia kuhusu mchepuko wake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Upo sahihi na ndilo hili nililoshuhudia kuhusu kutoka katika mwili na kuuona utukufu wa Mungu. Kama mkristo, umeokoka na kuamini hasa. Ukimuomba Mungu akufunulie Mambo ya kiroho atakufunulia. Ubarikiwe mjoli wa Bwana.
Kwahiyo tunakubaliana mbinguni ni huko juu au sio?!!Umeeleza vizuri,Suala la kwenda Mbinguni kwa mkristo wala sio la kushangaa,tatizo kuna watu wakisika mtu kaenda mbinguni wanaanza kuwaza kama wao kwamba mtu kavaa mkanda nje na viatu na begi lake anasubiri basi la kumpaisha ndio maana anaona ni kitu kisichowezekana.
Kupelekwa mbinguni,inatoka roho yako ambayo ndio imevalishwa huu mwili,unaacha mwili wako kitandani unauona,au vinginevyo unapewa maono ya namna mbingu ilivyo.
Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni.
Asanteni.
Nasubir useme Ndio mkuu?!!Kwahiyo tunakubaliana mbinguni ni huko juu au sio?!!
Naomba ureply hapa chapuu ni jambo na ww
Hatuwezi kukubaliana kwa sababu sijawahi kufika huko,kwahio sijui kama ipo juu,muulize mleta mada ndiye aliyeenda,na kwa maelezo yake alielekea juu.Kwahiyo tunakubaliana mbinguni ni huko juu au sio?!!
Naomba ureply hapa chapuu ni jambo na ww