Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Mambo ya Imani ni magumu sana.

Sisi wa afrika tunahitaji uponyaji wa Fikra zetu.

Babu wa kizungu tuliambiwa ni Mtakatifu akikutokea ni sawa.

Lakini babu yangu mwafrika akifa anakuwa mzimu.

Waafrika tuamke turudi kwenye asili yetu.
 
Hivi wale wanafunzinwa Yesu walikua wameoa?
 
In sha Allah ngoja na muislamu aje hapa atueleze habari za kimataifa kuhusu mbingu
 
Kama ndivyo... Na mimi nimesha kwenda mbinguni mara nyingi sana since i was a lil kid, Mara ya mwisho kwenda ni kama miezi mitatu nyuma.

Hallelujah.

(Ukibisha ulikuwepo) 😅😅😅
 
Mizania gani umetumia kusema kuwa Zumaridi ana shida ya akili?
Kinengunengu
 
Mwska 1984 nilipelekwa mahala pazuri sana ssna. Sikuchukuliwa ndotoni bali nilipelekwa nakumbuka ilikuwa kabla ya usiku wa saa sita.

Nimewahi kuwaona viumbe wabaya wskiwa katika miili. Malaika, majini na mapepo wote ni roho. Huwa wanavaa miili kukamilisha mission zao.

Majini nimeona
Mapepo nimeona
MAlaika humtokea mtu kwa hali isiyomletea taharuki mja wa Mungu.

Ni story ndefu sana
 
Yani mkiota tu ndoto mpo mawinguni mnasema mmepewa maono mmeenda mbinguni mmeonana na Mungu?

Mbona Mimi huwa naota napaa, kwahiyo huwa naescort malaika au huwa naenda mbinguni kupiga story?
Wewe ni escort maana huwa unapaa bila kupiga story na mtu
 
Kazi ya mapepo hiyo.....Kuna wanaopaa,Kuna wa Baharini na Ardhini Tena wengine misituni kabisa.....hao bana walikuja na kukupeleka huko kwao.
 
Mahala pazuri wapi?

Unataka kusema ni mbinguni?
 
Hawa wanaompinga Mungu waliumbwa na nani?
 
Mkuu Kinengunengu hongera kwa ku-share nasi personal experience namna ulivyoenda Mbinguni na kurudi. Kwangu mimi Mkristo ninayeamini katika Mungu baba, Mwana na Roho Mtakatifu sina Mashaka na uliyoyasema.

Katika Kitabu cha Mark 9:19 Yesu alikemea kizazi kisichoamini.
 
Hii Dunia hiuj[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]
 
Kuna kipindi hapo kati ilikua inanitokea mara kwa mara yani naota kitu halafu kesho yake kinakua hivyo hivyo..ningeshikilia hapo hapo possible na mie ningepaa mbinguni [emoji16]
Ht Mimi Tena mpk kesho nikiota kinatokea na sometimes nikisema kinakuja km kilivyo

Best tujitahidi tufike mbinguni
 
Wewe ni Mwadventista Msabato?
 
Wakolosai 2:18 Mtu asiwanyang'anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna bure, kwa akili zake za kimwili;

Mathayo 24: 4-5 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.

UNGANA NA ZUMARIDI MTATENGENEZA MOVIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…