Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Inachekesha sana ndo ujue tatizo kubwa ni utofauti wa imani kati ya mtu na mtu , Zumaridi alipondwa sababu tuu alikuwa na mlengo wake wa kiimani , ila huyu mwakasege na huyu mtoa mada wanajitetea sababu imani yao ni moja , ila wote ni wahuni tuuu hawana loloteImani bwana
Mwenzako zumaridi ana matatizo ya akili ila wew mzima yani unajiona wew upo sahihi sana kusema kwamba ulifika mbinguni ila zumaridi muongo alafu mbinguni ulienda ukaimba na kurudi tu.
enh tueleze kidogo hao mliokuwa mnaimba pamoja na wametoka duniani au wenyew in Wakazi wa huko