Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata tusiosali,Binafsi naamini hilo linaweza kutokea.
Wengi wetu hatuamini kwasababu hatusali.
Mtumishi Gani wa Mungu tena mzee wa kanisa unatumia misemo ya kihuni! Kama "Kamanda" mtaani ni msemo wa kihuni!...Jeshini ni jina lenye hadhi yake.Hayo ni yako kamanda na huyo Mungu wako unayemuamini. Kwangu tu mimi mwanadamu "kinengunengu" pesa ni karatasi tu zilizokuwa "printed" na wanadamu na hazina thamani isije kuwa kwa Mungu wangu yeye aliye mmiliki wa vitu vyote. Inawezekana thamani ya Mungu wako ni sawa na pesa ndio maana anakuja kwako ukiwa na pesa ila wangu mimi ni wa thamani zaidi ya vyote. Yeye ni wa vyote katika vyote.
Ananipa miuno TU,Vipi Mchepuko wako mama J anasemaje katika hili[emoji2][emoji3][emoji28][emoji1787][emoji23]?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kula mbususu weweIla michepuko ni rahaaaaaaaaa, wanadamu Bwana. Yaani unakazania kupinga dini ilhali unajisifu kuzini. Mungu akusaidie kwa kweli.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hakuna mtu amemuota yesu hapa acheni uongo wenu WA wazi wazi.msituletee ujinga humu ndani ,hapa sio kanisani kwa zumaridi
Tunaongelea utajiri wa pesa mkuu,Inategemea na level yako ya kufikiria kuhusu utajiri kwani hakuna kipimo rasmi cha utajiri na umaskini humu duniani. Wengine wakiwa na afya njema ni matajiri, wengine wakiwa na uhakika wa kula na kuvaa ni matajiri, wengine wakiwa na watoto ni matajiri kama ambavyo wewe unajiona tajiri kwa kuwa unamchepuko mama J maana ndio kitu pekee cha thamani ulichonacho na ndio maana kutwa nzima unakitangaza humu. Kwa hiyo usiongee wala kujeneralize vitu bro.
Kabisaaaa🤣Kweli Ni story ndefu Sana [emoji1787]
Sura ya yesu uliovoiona Unaweza kuielezea ikoje, ukawii kusema yesu Ni mzungu[emoji1787]Ila Baba na Mama yako aliyekufa unaweza Muota. Hahahaaaa, mwenye haki, mtakatifu na Mungu wa Miungu. Yeye aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo alijifunua kwa watu wake toka enzi ma enzi.
Musa alimuona, Isaya alimuona, Mikaya alimuona, Ezekiel alimuona, Daniel alimuona, Paulo alimuona, Yohana alimuona pale Patmo. Binafsi nimemuona katila utukufu wake. Yeye ukimuita atakuitikia. Hatuabudu Mungu jiwe. Tunamuabudu mtakatifu na mwenye haki. Yeye aliye hai hata milele na milele.
Waongo sn Hawa watu,Watu wanachekeshaa balaa, afu unakuta msomi mzima tena wa sayansi, let say Dr, Eng, ana amini na kutoa hizi hadithi za Abunuasi.
Huwa nachoka kwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawatumia walalahoi km mitaji yao[emoji1]Kuanguka pepo ipo kwa maskini na walala hoii tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuwepo ila mimi ni nani hadi nipinge , Hongera mkuu .Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni.
Binafsi nadeclare interest kuwa ninatumika Kanisa la TAG kama Mzee wa Kanisa huku Nyanda za juu kusini pia ni Mtumishi wa Serikali na huwa nahubiri mara moja moja. Siandiki hivi kwa kufurahisha watu au kujisifu wala kutaka kumsafisha Mwalimu Mwakasege ila naeleza kile nilichoshuhudia na kile ambacho Mungu amenitendea.
Kwa umri na muda niliomtumikia Mungu kama Mkristo nafahamu Mungu anajifunua kwa watu wengi yeye binafsi na pia kuwafunulia kuhusu wengi kuhusu mbingu.
Binafsi, nashuhudia leo na kikiwa na akili timamu na dhamira njema Moyoni mwangu kuwa nimemuona mwenye haki "Yesu Kristo" si chini ya mara 4 toka nikiwa mdogo na amenitokea kwa namna mbalimbali tofauti na watu wanavyokashfu kuwa tutatokewa na Mapepo yaliyovaa sura ya "Bryan Deacon" yule aliyeigiza "Filamu ya Yesu" Pia nashuhudia, Mungu kunifunulia na kuiona mbingu.
Mafunuo haya ya kutokewa na Yesu kwangu mimi hayakuwa kwa jinsi ya kimwili "yaani kunitokea physically" ila ni katika ndoto na Maono ya usiku pia wakati nasali nikajiona tu nimekutana naye.
Leo sitaelezea kuhusu kutokewa na Yesu ila nitaelezea kuhusu ushuhuda wangu wa kuiona Mbingu ila nasisitiza katika hilo, kila maono, ndoto au mafunuo ya Kimungu yanajengwa chini ya Neno la Mungu. Neno: Ayubu 33:14-16 hapa Mungu anasema kuhusu kusema na wanadamu kuhusu ndoto ns mqono ya usiku.
Neno: Yoel 2: 28-29 Anasema kuhusu "Ndoto na Maono".
Kuhusu Mungu kuwafunulia watumishi wake mbingu, tunaona Paulo anasema namna alivyochukuliwa na kuoneshwa kuhusu Mbingu katika 2 Korintho 12: 2-9 pia Stephano naye anafunuliwa katika Matendo ya Mitume 7:56 na pia Mtume Yohana anafunuliwa kuhusu Mbingu wakati anaandika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.
Binafsi, Nakumbuka ilikuwa 2016. Mungu alinipa Neno toka Yeremia 33:3 inayosema "Niite nami nitakuitikia na nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua" pia kwa muda mrefu nilikuwa naimba moyoni mwangu wimbo mmoja wa zamani sijui uliimbwa na kwaya gani ila kuna kipande wanaimba " Nimpeleleza nani raha ya Mbingu×2, Yesu ndiye wa Kumpeleleza"
Nakumbuka Siku hiyo niliamka kama kawaida saa 9 alfajiri na kusali. Ilipofika saa 11:45 nikasema nilale kidogo ili nikiamka saa 1 hivi niende kazini. Nilipolala kama saa 12 alfajiri nikaona Malaika mmoja aliye kama mwanadamu amevaa mavazi meupe yenye kung'ara huku akiwa mwenye sura inayong'ara ananiambia "nimetumwa nikufuate". Akanishika mkono, nikaona natoka kwenye mwili upande wenye moyo.
Nikapita kwenye bati la nyumba bila kizuizi. Safari ya kupanda juu ikaanza kwa speed ya ajabu huku akiwa amenishika Mkono. Nikaangalia chini na kuona mwili wangu, mke na mtoto wangu wamelala kitandani. Unaona nyumba na miti ya duniani. Tukapaa juu kwa spidi nikaangalia chini tena na kuona kadunia kalivyo kadogo then tukafika katika nchi ile ambayo "watu" wanaimba na kumuabudu Mungu. Nikaungana nao tuliimba "Bwana Mungu nashangaa kabisa"
Sijui nielezeje muonekano wake nchi ile ila ni nzuri na ya meta meta. Hali ya hewa na mazingira ni tofauti na huku duniani. Nchi ile ni kweli na mji ule ni kweli. Jitahidi usikose kuingia mji ule.
Baadaye nikaambiwa turudi na kwa speed ya ajabu, najikuta naingia mwilini mwangu upande wa kushoto kwenye moyo, mwili ukawa kama umepigwa "shot" nikashtuka.
Binafsi, nimewasikia na kuwaona watumishi wengi wa Mungu wanaoshuhudia kuhusu Mbingu huku kwetu na sehemu myingine. Ukiacha hao maarufu, japo "Zumaridi hapana kwani inaonekana ana shida ya akili" Ukiacha Mwakasege, hata Marehemu Kulola alishashuhudia siku moja kufunuliwa kuhusu Mbingu.
Nami nimeona nishare uzoefu wangu kuhusu Mafunuo ya Mbingu. Siku nyingine nitaeleza kuhusu kutokewa na Yesu ana tutokeaje, yupoje na tunajuaje kama ni Yesu.
Asanteni.
Ukigusa kwny mali Unatafta ugomvi[emoji1]Mambo mengi ni ya kusadikika, ni sawa na ndoto tu.
Kama ni kweli uza vitu vyako vyote ulivyonavyo na uwagawie masikini
Yule jamaa wa tongareni fyuzi zilikatika[emoji1787]Mleta mada huna tofauti na Zumaridi au Yesu wa Tongareni Bungoma Kenya.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Serikali imeajiri mtu wa hovyo sana,Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni.
Binafsi nadeclare interest kuwa ninatumika Kanisa la TAG kama Mzee wa Kanisa huku Nyanda za juu kusini pia ni Mtumishi wa Serikali na huwa nahubiri mara moja moja. Siandiki hivi kwa kufurahisha watu au kujisifu wala kutaka kumsafisha Mwalimu Mwakasege ila naeleza kile nilichoshuhudia na kile ambacho Mungu amenitendea.
Kwa umri na muda niliomtumikia Mungu kama Mkristo nafahamu Mungu anajifunua kwa watu wengi yeye binafsi na pia kuwafunulia kuhusu wengi kuhusu mbingu.
Binafsi, nashuhudia leo na kikiwa na akili timamu na dhamira njema Moyoni mwangu kuwa nimemuona mwenye haki "Yesu Kristo" si chini ya mara 4 toka nikiwa mdogo na amenitokea kwa namna mbalimbali tofauti na watu wanavyokashfu kuwa tutatokewa na Mapepo yaliyovaa sura ya "Bryan Deacon" yule aliyeigiza "Filamu ya Yesu" Pia nashuhudia, Mungu kunifunulia na kuiona mbingu.
Mafunuo haya ya kutokewa na Yesu kwangu mimi hayakuwa kwa jinsi ya kimwili "yaani kunitokea physically" ila ni katika ndoto na Maono ya usiku pia wakati nasali nikajiona tu nimekutana naye.
Leo sitaelezea kuhusu kutokewa na Yesu ila nitaelezea kuhusu ushuhuda wangu wa kuiona Mbingu ila nasisitiza katika hilo, kila maono, ndoto au mafunuo ya Kimungu yanajengwa chini ya Neno la Mungu. Neno: Ayubu 33:14-16 hapa Mungu anasema kuhusu kusema na wanadamu kuhusu ndoto ns mqono ya usiku.
Neno: Yoel 2: 28-29 Anasema kuhusu "Ndoto na Maono".
Kuhusu Mungu kuwafunulia watumishi wake mbingu, tunaona Paulo anasema namna alivyochukuliwa na kuoneshwa kuhusu Mbingu katika 2 Korintho 12: 2-9 pia Stephano naye anafunuliwa katika Matendo ya Mitume 7:56 na pia Mtume Yohana anafunuliwa kuhusu Mbingu wakati anaandika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.
Binafsi, Nakumbuka ilikuwa 2016. Mungu alinipa Neno toka Yeremia 33:3 inayosema "Niite nami nitakuitikia na nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua" pia kwa muda mrefu nilikuwa naimba moyoni mwangu wimbo mmoja wa zamani sijui uliimbwa na kwaya gani ila kuna kipande wanaimba " Nimpeleleza nani raha ya Mbingu×2, Yesu ndiye wa Kumpeleleza"
Nakumbuka Siku hiyo niliamka kama kawaida saa 9 alfajiri na kusali. Ilipofika saa 11:45 nikasema nilale kidogo ili nikiamka saa 1 hivi niende kazini. Nilipolala kama saa 12 alfajiri nikaona Malaika mmoja aliye kama mwanadamu amevaa mavazi meupe yenye kung'ara huku akiwa mwenye sura inayong'ara ananiambia "nimetumwa nikufuate". Akanishika mkono, nikaona natoka kwenye mwili upande wenye moyo.
Nikapita kwenye bati la nyumba bila kizuizi. Safari ya kupanda juu ikaanza kwa speed ya ajabu huku akiwa amenishika Mkono. Nikaangalia chini na kuona mwili wangu, mke na mtoto wangu wamelala kitandani. Unaona nyumba na miti ya duniani. Tukapaa juu kwa spidi nikaangalia chini tena na kuona kadunia kalivyo kadogo then tukafika katika nchi ile ambayo "watu" wanaimba na kumuabudu Mungu. Nikaungana nao tuliimba "Bwana Mungu nashangaa kabisa"
Sijui nielezeje muonekano wake nchi ile ila ni nzuri na ya meta meta. Hali ya hewa na mazingira ni tofauti na huku duniani. Nchi ile ni kweli na mji ule ni kweli. Jitahidi usikose kuingia mji ule.
Baadaye nikaambiwa turudi na kwa speed ya ajabu, najikuta naingia mwilini mwangu upande wa kushoto kwenye moyo, mwili ukawa kama umepigwa "shot" nikashtuka.
Binafsi, nimewasikia na kuwaona watumishi wengi wa Mungu wanaoshuhudia kuhusu Mbingu huku kwetu na sehemu myingine. Ukiacha hao maarufu, japo "Zumaridi hapana kwani inaonekana ana shida ya akili" Ukiacha Mwakasege, hata Marehemu Kulola alishashuhudia siku moja kufunuliwa kuhusu Mbingu.
Nami nimeona nishare uzoefu wangu kuhusu Mafunuo ya Mbingu. Siku nyingine nitaeleza kuhusu kutokewa na Yesu ana tutokeaje, yupoje na tunajuaje kama ni Yesu.
Asanteni.
Hapo ndio ujue mambo mengi ni usanii; kama ni kweli wafufue watuUkigusa kwny mali Unatafta ugomvi[emoji1]
Haswaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawatumia walalahoi km mitaji yao[emoji1]