DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
kwa sisi tuliookoka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3516]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sisi tuliookoka?
Unataka uthibitisho upi ?Thubitishaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea na level yako ya kufikiria kuhusu utajiri kwani hakuna kipimo rasmi cha utajiri na umaskini humu duniani. Wengine wakiwa na afya njema ni matajiri, wengine wakiwa na uhakika wa kula na kuvaa ni matajiri, wengine wakiwa na watoto ni matajiri kama ambavyo wewe unajiona tajiri kwa kuwa unamchepuko mama J maana ndio kitu pekee cha thamani ulichonacho na ndio maana kutwa nzima unakitangaza humu. Kwa hiyo usiongee wala kujeneralize vitu bro.Uzuri Ni kwamba,
Sijawahi sikia tajiri kaanguka pepo[emoji1]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaaaaa, kama ulivyokuwa unaamini Chelsea watachukua ubingwa wa UEFA [emoji30][emoji3][emoji1][emoji38][emoji28][emoji23]
Ila Baba na Mama yako aliyekufa unaweza Muota. Hahahaaaa, mwenye haki, mtakatifu na Mungu wa Miungu. Yeye aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo alijifunua kwa watu wake toka enzi ma enzi.Hakuna mtu amemuota yesu hapa acheni uongo wenu WA wazi wazi.msituletee ujinga humu ndani ,hapa sio kanisani kwa zumaridi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu anasema huu ni ushuhuda wake binafsi, kamuona Yesu, tutajua vipi kama hana matatizo ya akili anaona maluweluwe tu?
Chai ya mdalasini KABISA[emoji38]Ni bora mtu aniambie katokewa na Mungu fresh wakaongea yao yakaisha akarudi kitandan fresh,ila maswala ya kupaishwa juu na mabwawa mpk kafikishwa mbinguni na akapaona,asee haiwez kuwa kweli
Wanataka tuwaletee Mungu humu JF eti. Vijana Bwana.Unataka uthibitisho upi ?
Ufafanuz mzur Sana[emoji4][emoji106]Kwa kawaida ndoto zinatokana na mambo tunayoyafikia na kuwazia kwa muda mwingi lakini hii haithibitishi ndoto ni jambo la kweli.
Kumbuka ndoto ni "images" au mfuatano wa picha zinazotengenezwa na subconcious mind na kama nilivyosema ndoto maza zote zinafuata mambo tunayoyaamini sana au kutumia muda mwingi kuyafikiria.
Hiyo maana yake kama wewe ni born again Christian na muda mwingi unawazia kuhusu mbingu, yesu, mungu, malaika, shetani au mambo mengine ya kiroho basi ni rahisi kuona matuko yenye kufanana na haya kwenye ndoto zako kwasababu subconcious mind inatengeneza images zinazokuonyesha mfano wa mbingu, yesu, mungu nk.
Ndiyo maana ndoto nyingi za namna hii ukichunguza zinasimuliwa na watu dini wanaotumia muda mwingi kuwaza mambo ya namna hii.
Pia ukichunguza watu wanaoishi maisha ya woga, kukandamizwa na wasiwasi basi ni rahisi kwao kuota wameenda jehanamu au sehemu za mateso. Unadhani kwanini?
Hiyo yote ni trick za bongo zetu tu, lakini hakuna ukweli katika vitu walivyoota.
Mwisho, ukiota umeingia heaven au sehemu nzuri hiyo maana yake kuna mambo mazuri unahitaji katika maisha yako lakini unakosa. Ni namna ubongo wako unakuonyesha matamanio yako unayoshindwa kuyatimiza katika physical world.
Kweli KABISA,Unaleta habari za ndoto alafu unaita watu wapumbavu? Mbona wewe ndo unaonekana kiongozi mwandamizi wa wapumbavu!
May God bless you for the good testimony...Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni.
Binafsi nadeclare interest kuwa ninatumika Kanisa la TAG kama Mzee wa Kanisa huku Nyanda za juu kusini pia ni Mtumishi wa Serikali na huwa nahubiri mara moja moja. Siandiki hivi kwa kufurahisha watu au kujisifu wala kutaka kumsafisha Mwalimu Mwakasege ila naeleza kile nilichoshuhudia na kile ambacho Mungu amenitendea.
Kwa umri na muda niliomtumikia Mungu kama Mkristo nafahamu Mungu anajifunua kwa watu wengi yeye binafsi na pia kuwafunulia kuhusu wengi kuhusu mbingu.
Binafsi, nashuhudia leo na kikiwa na akili timamu na dhamira njema Moyoni mwangu kuwa nimemuona mwenye haki "Yesu Kristo" si chini ya mara 4 toka nikiwa mdogo na amenitokea kwa namna mbalimbali tofauti na watu wanavyokashfu kuwa tutatokewa na Mapepo yaliyovaa sura ya "Bryan Deacon" yule aliyeigiza "Filamu ya Yesu" Pia nashuhudia, Mungu kunifunulia na kuiona mbingu.
Mafunuo haya ya kutokewa na Yesu kwangu mimi hayakuwa kwa jinsi ya kimwili "yaani kunitokea physically" ila ni katika ndoto na Maono ya usiku pia wakati nasali nikajiona tu nimekutana naye.
Leo sitaelezea kuhusu kutokewa na Yesu ila nitaelezea kuhusu ushuhuda wangu wa kuiona Mbingu ila nasisitiza katika hilo, kila maono, ndoto au mafunuo ya Kimungu yanajengwa chini ya Neno la Mungu. Neno: Ayubu 33:14-16 hapa Mungu anasema kuhusu kusema na wanadamu kuhusu ndoto ns mqono ya usiku.
Neno: Yoel 2: 28-29 Anasema kuhusu "Ndoto na Maono".
Kuhusu Mungu kuwafunulia watumishi wake mbingu, tunaona Paulo anasema namna alivyochukuliwa na kuoneshwa kuhusu Mbingu katika 2 Korintho 12: 2-9 pia Stephano naye anafunuliwa katika Matendo ya Mitume 7:56 na pia Mtume Yohana anafunuliwa kuhusu Mbingu wakati anaandika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.
Binafsi, Nakumbuka ilikuwa 2016. Mungu alinipa Neno toka Yeremia 33:3 inayosema "Niite nami nitakuitikia na nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua" pia kwa muda mrefu nilikuwa naimba moyoni mwangu wimbo mmoja wa zamani sijui uliimbwa na kwaya gani ila kuna kipande wanaimba " Nimpeleleza nani raha ya Mbingu×2, Yesu ndiye wa Kumpeleleza"
Nakumbuka Siku hiyo niliamka kama kawaida saa 9 alfajiri na kusali. Ilipofika saa 11:45 nikasema nilale kidogo ili nikiamka saa 1 hivi niende kazini. Nilipolala kama saa 12 alfajiri nikaona Malaika mmoja aliye kama mwanadamu amevaa mavazi meupe yenye kung'ara huku akiwa mwenye sura inayong'ara ananiambia "nimetumwa nikufuate". Akanishika mkono, nikaona natoka kwenye mwili upande wenye moyo.
Nikapita kwenye bati la nyumba bila kizuizi. Safari ya kupanda juu ikaanza kwa speed ya ajabu huku akiwa amenishika Mkono. Nikaangalia chini na kuona mwili wangu, mke na mtoto wangu wamelala kitandani. Unaona nyumba na miti ya duniani. Tukapaa juu kwa spidi nikaangalia chini tena na kuona kadunia kalivyo kadogo then tukafika katika nchi ile ambayo "watu" wanaimba na kumuabudu Mungu. Nikaungana nao tuliimba "Bwana Mungu nashangaa kabisa"
Sijui nielezeje muonekano wake nchi ile ila ni nzuri na ya meta meta. Hali ya hewa na mazingira ni tofauti na huku duniani. Nchi ile ni kweli na mji ule ni kweli. Jitahidi usikose kuingia mji ule.
Baadaye nikaambiwa turudi na kwa speed ya ajabu, najikuta naingia mwilini mwangu upande wa kushoto kwenye moyo, mwili ukawa kama umepigwa "shot" nikashtuka.
Binafsi, nimewasikia na kuwaona watumishi wengi wa Mungu wanaoshuhudia kuhusu Mbingu huku kwetu na sehemu myingine. Ukiacha hao maarufu, japo "Zumaridi hapana kwani inaonekana ana shida ya akili" Ukiacha Mwakasege, hata Marehemu Kulola alishashuhudia siku moja kufunuliwa kuhusu Mbingu.
Nami nimeona nishare uzoefu wangu kuhusu Mafunuo ya Mbingu. Siku nyingine nitaeleza kuhusu kutokewa na Yesu ana tutokeaje, yupoje na tunajuaje kama ni Yesu.
Asanteni.
Uwepo wa Mungu.Unataka uthibitisho upi ?
Watu wanachekeshaa balaa, afu unakuta msomi mzima tena wa sayansi, let say Dr, Eng, ana amini na kutoa hizi hadithi za Abunuasi.Hakuna mtu amemuota yesu hapa acheni uongo wenu WA wazi wazi.msituletee ujinga humu ndani ,hapa sio kanisani kwa zumaridi
Kuanguka pepo ipo kwa maskini na walala hoii tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri Ni kwamba,
Sijawahi sikia tajiri kaanguka pepo[emoji1]
[emoji38][emoji38][emoji38]hatar sn hiiMiaka nenda Rudi Malaika hawajawahi kubadirisha Nguo, wao kila siku ni nguo nyeupe tu ndefu za Kung'aa
Kweli Ni story ndefu Sana [emoji1787]Mwska 1984 nilipelekwa mahala pazuri sana ssna. Sikuchukuliwa ndotoni bali nilipelekwa nakumbuka ilikuwa kabla ya usiku wa saa sita.
Nimewahi kuwaona viumbe wabaya wskiwa katika miili. Malaika, majini na mapepo wote ni roho. Huwa wanavaa miili kukamilisha mission zao.
Majini nimeona
Mapepo nimeona
MAlaika humtokea mtu kwa hali isiyomletea taharuki mja wa Mungu.
Ni story ndefu sana
Atakua alipelekwa mbingu ya msoga[emoji1787]Sorry naomba kuuliza unasema ulipofika mbinguni ukakutana na wengine mkaimba wimbo wa “bwana Mungu nashangaa kabisa”
Je huko ni lugha ya kiswahili pekee unatumika? Au sehemu ulipelekwa ni mbingu wako wanaojua kiswahili pekee!?
Asante