Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Draughts au checker ina kopi mbili tu zenye nguvu za kuanza. Zingine zote utakimbizwa. Njia hizo ni hizi.

Screenshot_20210704-163914.png

Screenshot_20210704-163903.png
 
Hiyo ya kwenye picha ya pili ndiyo ina nguvu zaidi. Inaitwa single corner. Hiyo ya picha ta kwanza inaitwa double corner kama sikosei. Kuna njia saba za kuanza hila hizo mbili ndiyo kali.
 
Mkuu kwanza nikupe pongezi kwa kujitoa kuwapa maujanja ya draft, hili jukwaa ni la michezo ila mostly draft limepewa kisogo sana wakati mtaani linabamba.

Nikiwa kama mdau wa draft ningependa kushare mawili matatu kuhusu copy hii ambayo kimsingi hua naitumiaga na imekua ikiniletea matokeo mazuri. Nitaweka challenge ambazo zinaweza kutumiwa na mpinzani wako kuku defeate
 
Back
Top Bottom