Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Nice move, ila hapa nairudisha kete yangu kwa namna hii humu sare ikionekana kwa upande wako wakati mimo nasubiria makosa yako mi scoreView attachment 1841582
Hiyo itanisumbua ila ni sare. Nakuomba namna hii.
Screenshot_20210704-222653.png
 
Nisha fungua nimejaribu kucheki active members nimeona watu wameweka username zenye mikwara nimebakia nacheka tu
Mshikaji uliyecheza naye na mimi nimeruka naye.

Ila nimesahau paswed so nimeingia kama gest game ya kwanza kapasuka kwa kete tatu ya pili nimempiga kawaida
Screenshot_2021-07-04-23-03-08-74.jpg
Screenshot_2021-07-04-23-08-35-83.jpg
Screenshot_2021-07-04-23-09-24-53.jpg
 
Back
Top Bottom