Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Sijakupata hapa mkuu..sema hua napiga naye sana 100% sijawahi mpiga zaidi ya kutoa droo.

Siku nikimtandika nitaleta mrejesho.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2186762
Dalmax hana ukali huo.

Sasa kukuelekeza inakuaje hapo itakua ngumu kwakua namna ya kucheza, kuona mitego na kutega tunatofautiana
 
Wakuu vp mwez huu hamna sehem yoyote yenye madhindano kwa hapa dar es salaam..?
 
Hahahahhahahaha kuna jamaa alikujaga kinondani shamba alitufunga sana alinipaga copy flani hivi nilisumbua nayo kinoma alisema inaitwa "kiboko ya matutusa"[emoji1787]
Jamaa alikua balaa sana nakumbuka tulicheza nae michezo kumi halafu badae akanionesha nilipokua nakosea kwa kila mchezo!!! Sasa nikazani yy ndo balaa wa draft duniani.. Aliniacha hoi aliposema eti kinondoni manyanya kuna watabe yy n muokota kete tu!!"[emoji1787]
Akanitajia kina ronado mangurere na wengineo...
Tatizo huku kanda ya ziwa tunacheza French tu huku kuna watabe aisee kuna mwamba yupo mwanza anaitwa kasikio na mwingine sirari anaitwa Kaduka! Ni nyoko sana anakupa ofa ukifika king unakula elfu kumi we unaweka elfu mbili... Thubutu utapigwa hadi uchakaeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Kama unamfahamu kasikio basi umebarikiwa kukutana na mabingwa ambao wana kino wanadai hawajui drafti. Huyo mwamba anavuka boda kutafuta mabingwa wenzie sasa ogopa mtu anachoma nauli yake tena kwa kuvuka mipaka halafu unamwita sio bingwa?
 
Hiyo ya kwenye picha ya pili ndiyo ina nguvu zaidi. Inaitwa single corner. Hiyo ya picha ta kwanza inaitwa double corner kama sikosei. Kuna njia saba za kuanza hila hizo mbili ndiyo kali.
Tupe hiz copy mzee
 
wale wenye mbinu za copy, wascreen record halafu watuwekee video hapa.
 
Back
Top Bottom