Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Ukiona mtu kaweka dakika 15 kwenda juu huyo ni wa kufikiria mpaka kero, kuna jamaa anaitwa kmohd, huyu jamaa anafikiria mpaka bored.

Halafu kuna waoga, akikufunga moja tu anakimbia.
 
Huwa nambong'onyoa huyo jamaa Hadi huruma.
 
Nani?, wezarohoyo?, kama unamfunga wezarohoyo unajitahidi. Mchezo wa drafti unahitaji mazoezi, wakati alipokuwa anahudhuria mara kwa mara alikua vizuri, siku hizi anakuja kwa msimu amekua wa kawaida
 
Yaan jamaa anajua had kero
Hata ukiangalia statistics yake, kafungwa na watu wachache tu, ambao ni kilimbe, mshindi na bwete86. Hao wote wamemfunga 1-0, walimbahatisha kimoja halafu wakakimbia. Katoa sare na strobe, cfn9847g, mchunguzi, kinghamid na mww9303g, waliobaki wote kawafunga. Jamaa hana majivuno, anacheza hata na mtu mwenye rank ya blue, wengi wenye point nyingi ukitaka kucheza nao wanaku-boot/displace.

Nachukia sana wachezaji wenye tabia ya ku-displace wenzao.
 
Hakika jamaa hana majivuno kabisaa hv huyu yuko dar kwel..?
 
Hi kitu huwa inanikera sana aiseee, sometimes unaweza ukaona dk za mwenzako zinazidi kwenda tu kumbe bila kujua zinaenda za kwako eti Kete yako haijaenda wkt umesukuma na ikaonekana kwenda.

Jambo la pili ni watu kung'ang'ania point za Bure kwa kuwa muda wako imebaki mdg ingalikuwa game ni draw.

Jambo jingine ni Ile kitu ya Kete tatu kwende mpk 15 baadala ya kuishia 12.Hapo ni ungese.

Jingine ni Hilo la mtu kuchange muda wkt game ikiendelea.Huu ni uhuni,ishanicost mara nyingi sana.
Huwezi kuchange muda wakati game ikiwa inaendelea
 
Hata ukiangalia statistics yake, kafungwa na watu wachache tu, ambao ni kilimbe, mshindi na bwete86. Hao wote wamemfunga 1-0, walimbahatisha kimoja halafu wakakimbia. Katoa sare na strobe, cfn9847g, mchunguzi, kinghamid na mww9303g, waliobaki wote kawafunga. Jamaa hana majivuno, anacheza hata na mtu mwenye rank ya blue, wengi wenye point nyingi ukitaka kucheza nao wanaku-boot/displace.

Nachukia sana wachezaji wenye tabia ya ku-displace wenzao.
Aisee Kuna mtu ana point 1800+ na rangi kawekewa ya orange. Anaitwa poweram
 
Kupata hiyo point inabidi uwe nunda kwelikweli. Waliowahi kuipata ni wachache, ninaowafahamu ni consciouz, townkid, kingmwando, tobodunda na runi9poacher.

Mkulima bado hajaipata kwasababu anakatwa point nyingi sana kwa sare moja tu anapocheza na mchezaji mdogo. Angekuwa hachezi na wachezaji wadogo angekua na hata 2000+.

Hao wenye point 1800+ pamoja na point zao Mkulima kawafunga.
 
Dah!! Hili game LA kula mbele tu linalishinda kinoma.. Nshazoea kula pote [emoji3][emoji16].
Yaani kwenye hili game Nina rank ya chini mno najitahidi kucheza lakini hadi vibonge wanani"kanyaga" [emoji23] hadi leo nimeshindwa kurudi japo 1200+

Ila nikiswichi kwenye game langu pendwa la franchise mbele na nyuma nawagonga kinyama wengine wakiona ID yangu tu wanakula kona [emoji1787].. Maana 1500+ si mchezo tena niliwahi kupanda hadi 1700+

Tazama hizo picha hapo down...
Screenshot_20220203-225753.jpg
Screenshot_20220203-225813.jpg
 
Dah!! Hili game LA kula mbele tu linalishinda kinoma.. Nshazoea kula pote [emoji3][emoji16].
Yaani kwenye hili game Nina rank ya chini mno najitahidi kucheza lakini hadi vibonge wanani"kanyaga" [emoji23] hadi leo nimeshindwa kurudi japo 1200+

Ila nikiswichi kwenye game langu pendwa la franchise mbele na nyuma nawagonga kinyama wengine wakiona ID yangu tu wanakula kona [emoji1787].. Maana 1500+ si mchezo tena niliwahi kupanda hadi 1700+

Tazama hizo picha hapo down...View attachment 2106966View attachment 2106967
wengi hatulijui, wengi tumezoea kucheza lambele tupu
 
Ukiacha colour inversion, hakuna njia nyingine ya kubadili muonekano wa drafti la playok liwe na dark theme?. Rangi nyeupe inaumiza macho.

Screenshot_20220211-012119_UC Mini.jpg
 
Back
Top Bottom