Phrasal Verbs
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 245
- 263
- Thread starter
- #641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila mchezo uliocheza nimekupiga,nani ambaye hajakufunga
tulicheza michezo 2. na ulinifunga kwakua network niliko inasumbuakila mchezo uliocheza nimekupiga,
taja id yako nikukagueNani Ambaye ajafungwa na Mimi?
Usikute pimbi tu.wote mlio humu hamniwezi kimachezo
muashiUsikute pimbi tu.
Unatumia ID ipi?
Dalmax inanisumbua sana..nadhani kwasababu ya kopi naomba msaada katika hili.Phrasal Verbs unashingapi nikutumie izo copy wasap au inbox.
Nakupa maelezo fuu mafunzi ya video
Sent using Jamii Forums mobile app
Draughts au checker ina kopi mbili tu zenye nguvu za kuanza. Zingine zote utakimbizwa. Njia hizo ni hizi.
View attachment 1840824
View attachment 1840830
Digidigi mabao (wanamuita kitandililo jina la utani, Ni mkamaria wa drafti, jamaa anajua Sana yaan, humfungi kuzembe, Ila haijafika level za akina mkulima)Njoo nikukague mitego, ID mcpipi1. Salute @digidigimabao.
Kumbe unampata huyu chalii.Digidigi mabao (wanamuita kitandililo jina la utani, Ni mkamaria wa drafti, jamaa anajua Sana yaan, humfungi kuzembe, Ila haijafika level za akina mkulima)
Dalmax ni tura sanaDalmax inanisumbua sana..nadhani kwasababu ya kopi naomba msaada katika hili.
We tura unaweza kunifunga Mimi kweli, unapoint ngapi kwanzataja id yako nikukague
Nampata nilisoma nae. Ila anajua Sana kusukuma kete.Kumbe unampata huyu chalii.
Dalmax napataga sare tu nikijitahidi, Ila vichapo vinanihusu Sanaa yaaniDalmax ni tura sana
Sijakupata hapa mkuu..sema hua napiga naye sana 100% sijawahi mpiga zaidi ya kutoa droo.Dalmax ni tura sana
Wajuzi waje watujuze wanamfunga kwa tricks gani?Dalmax napataga sare tu nikijitahidi, Ila vichapo vinanihusu Sanaa yaani