Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

playok. ni platform mzuri kwa sisi wanamchezo wa draft. waliowengi mule wanaujua kwelikweli huu mchezo ila wengine ni janjajanja tu. makosa ya kiufundi ya platform hii ni kile kitendo cha kumpa ushindi table operator kwakuwa muda aliouseti yeye ukiisha. utakuta mtu anaweka dk 1 mchezo upokati anapewa ushindi yeye. au mtu kaweka dk 5 akiona unaelekea kumfunga basi anaamua kulala ili muda uishe apewe ushindi yeye. id yangu kule playok ni phrasalverbs
Hili la kumpa table operator kwavile yeye kaset muda sio kweli. Operator akiset muda, ule muda unafanya kazi kote kote sio kwa upande mmoja pekee. Operator akilala eti ategee inakula kwake, Hivyo ni lazima acheze kwa haraka kama kaset dakika chache. Na kingine ni kwamba ukiingia kule unabidi network yako ipo stable lasivyo unaweza shangaa kila ukicheza kete inagoma kwenda halafu dakika zinasoma tu halafu mwisho wa siku unaonekana ume left mtu anadhani umemkimbia kumbe mtandao umezingua.
 
Hi kitu huwa inanikera sana aiseee, sometimes unaweza ukaona dk za mwenzako zinazidi kwenda tu kumbe bila kujua zinaenda za kwako eti Kete yako haijaenda wkt umesukuma na ikaonekana kwenda.

Jambo la pili ni watu kung'ang'ania point za Bure kwa kuwa muda wako imebaki mdg ingalikuwa game ni draw.

Jambo jingine ni Ile kitu ya Kete tatu kwende mpk 15 baadala ya kuishia 12.Hapo ni ungese.

Jingine ni Hilo la mtu kuchange muda wkt game ikiendelea.Huu ni uhuni,ishanicost mara nyingi sana.
Sidhani kama hilo linawezekana, game ikishaaza option ya setting haifanyi kazi mkuu. Jaribu kufungua table kisha mtu ucheze naye halafu nenda kwenye setting uone kama itakuruhusu kubadili muda wakati mchezo ukiwa unaendelea. Ishu kubwa kwenye hii play ok ni network ukiwa na network ya chini unaweza cheza lakini kete haisogei. Au unaweza ukacheza na kete ikasogea lakini dakika badala ya kusoma za mwenzio ikawa inaendelea kupungua kwako tu wakati ulishacheza
 
Play ok ndo wapi huko wakuu nielekezeni nije nitoe shule ya draft copy kama sumu ya pandu sululele international nk ndo mahali pake hapa
 
Bro mabao yako meng nayachek unafikria ile kinoma aisee yaan uko slow sanaaa kusukuma kete[emoji22][emoji22]
natumia simu ya batani (kitochi 4g) tigo. Huku niliko tigo aipatikani kwahiyo natumia laini ya halotel ambayo network inasoma E (edge au 2g)

Mimi pia naona kama wapinzani wangu ndo wanafikilia sana lakini kumbe ni network ya vijijini na simu ambayo siyo tachi.
kwahiyo uniwie radhi mkuu. Unatumia id gani na huyo Eng zedudu anatumia id gani.
Mangishedo kama hupo umu salute kwako.
 
natumia simu ya batani (kitochi 4g) tigo. Huku niliko tigo aipatikani kwahiyo natumia laini ya halotel ambayo network inasoma E (edge au 2g)

Mimi pia naona kama wapinzani wangu ndo wanafikilia sana lakini kumbe ni network ya vijijini na simu ambayo siyo tachi.
kwahiyo uniwie radhi mkuu. Unatumia id gani na huyo Eng zedudu anatumia id gani.
Mangishedo kama hupo umu salute kwako.
Natumia Id ya Kamkubwa njoo tucheze nipime kiwango changu kama nami pia ni mja katika waja
 
Aisee kuna watu wanajua kusukuma kete nyie acheni tu...

Mkulima Vs Muungwana kinapigwa hukoo time hii
Screenshot_20220201-002458.jpg
 
Njoo nikukague mitego, ID mcpipi1. Salute @digidigimabao.
 
Njoo nikukague mitego, ID mcpipi1. Salute @digidigimabao.
Mimi uchezaji unaonivutia ni wa wezarohoyo, muungwana na townkid. Sema wezarohoyo ana wenge ukishamfunga magoli mawili matatu.
 
Back
Top Bottom