Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Dah, mkuu unauza mpaka copy, amakweli bongo kilaktu ni fursa...[emoji119][emoji119]
Kingmwando huyo, naye anapiga siyo kitoto. Siku hizi simwoni playok, itakuwa kabadilisha ID au anatumia guest account.
 
Katika DRAFT yaani sisi mafundi wa dunia tunapambanaga kuweka kete katika upande wa kushinda(winning positions) nikikuwahi au ukiniwahi basi hata kama kete zote 24 kwenye (8x8 board) basi tunapanga. Sio lazima kete ziishe sawa Matura NYIE? Mfano hapo winning position ya Dalmax ni kukusubiri upandishe kete nyekundu ya kulia iliyoguswa ili akumalize kwa force
 
Huu ndo uzuri wa game hii, pimbi anajiita fundi.
 
playok. ni platform mzuri kwa sisi wanamchezo wa draft. waliowengi mule wanaujua kwelikweli huu mchezo ila wengine ni janjajanja tu. makosa ya kiufundi ya platform hii ni kile kitendo cha kumpa ushindi table operator kwakuwa muda aliouseti yeye ukiisha. utakuta mtu anaweka dk 1 mchezo upokati anapewa ushindi yeye. au mtu kaweka dk 5 akiona unaelekea kumfunga basi anaamua kulala ili muda uishe apewe ushindi yeye. id yangu kule playok ni phrasalverbs
 
Yeah, playok hakuna kibonde, kule usimchukulie poa yeyote, unaweza fungwa na mchezaji uliyemzidi point kibao. Ukitaka ujue drafti fululiza kucheza playok, au waangalie wengine wanavyocheza.

Wanaoweka dakika 1, 2 au 3 wanapima uwezo wao kuzizoea copy walizozizifanyia mazoezi na kufikiri kwa haraka. Wengine wanaocheza kwa dakika 1 ni kweli wezi/wajanja wajanja, shida yao ni ushindi tu hata game ni sare, wanafosi kucheza ili uwahi kumaliza muda ashinde. Game za muda mfupi kama dakika 1-3 inatakiwa network yako iwe faster na strong 4G, siyo network za kuungaunga au slow.

Kabla ya kuanza kucheza na mchezaji anayesubiri kucheza na mtu, angalia kwanza table yake ni ya dakika ngapi?, kama ni ya dakika 1 achana naye kama hutaki kwa dakika moja.

Kule kuna watu wanaolala, yaani kete ya mwanzo tu anafikiria weeee!!, wanaboa sana.
 
Back
Top Bottom